gillard
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 227
- 165
- Thread starter
- #61
Mbona hukuandika mengine lkabda hukuya sikia na mquote , si rasmi ' Ni Ukweli usiopingika ni kuwa kuna wakati nidhamu, uadilifu vilipotea miongoni mwa watumishi wa Umma na wananchi kwa ujumla' Je si kuwa anamuunga mkono \rais kwa kurudisha Discpline ambayo ni muhimu mno kwa maendeleo ya Tanzania?
Nilivyomuelewa mimi ni kuwa amekiri kuwapo kwa hayo lakini pamoja na kuvirudisha hivyo vyote kwenye mstari mambo hayo matatu aliyoyataja ni sifa ambazo kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo. Japo ukweli hata yeye hakuyaishi, mfano hakumsikiliza hata Nyerere kuhusu ubinafsishaji.