Tupe taarifa mbadala ambazo ni za kweliTunaelewa sana usifikiri hatuelewi kilichoandikiwa.
Tunachosema kwanini kuwe na taarifa potofu kuhusu kilichopo ndani aidha kimeidhinishwa na Serikali au la hiyo siyo issue kwasababu tunajua kilichokuwa kinaendelea kupitia Mgongo wa Serikali.
Hata kama acacia wana haki kisheria kusafirisha makinikia hilo linajulikana wala halina shida.
Hapa tunataka kujua kwanini taarifa zilizokuwa zinaandikwa hazikuwa na ukweli kuhusu kilichokuwa ndani ya makontena mpaka Tume imeyaona yote hayo.