Mkapa above the law?: Allegations

Ni kweli wabunge wachache wa ccm siku moja tunaamini wataisaliti ccm, hawataweza kuvumilia hata kidogo wakiona jinsi viongozi wao wa ngazi za juu za chama wakiiba rasilimali za umma,
 
Power woes:MPs descend on Mkapa, Yona

2008-04-23 09:39:57
By Judica Tarimo, Dodoma

Members of Parliament yesterday blamed the power crisis Tanzania has been facing squarely on controversial agreements signed during the third-phase Benjamin Mkapa presidency, when Daniel Yona was Energy and Minerals minister.

They described the contracts as having been so overly dubious, corruption-induced and costly that they threw the country into needless acute social and economic problems.

Debating the 2008 Electricity Bill in the National Assembly, the legislators also said Mkapa and Yona were the primary cause of the current bad blood between the government and MPs over whether the bill should be endorsed.

Energy and Minerals minister William Ngeleja tabled the bill three days ago.

National Assembly Speaker Samwel Sitta was forced to extend debate on the bill, which some legislators have rejected outright.

At the centre of the controversy are provisions which open the doors to Tanzania`s electricity generation and supply sector to private and foreign players that would inevitably compete with the giant but struggling state-owned Tanzania Electric Supply Company (Tanesco).

While some MPs view the open-door policy introduced by the government as a threat to the crucial power sector and the entire Tanzanian population, others see it as a liberating factor, particularly for rural areas with no access to the benefits electricity offers.

In a dramatic turn of events, some lawmakers yesterday openly pointed an accusing finger at Mkapa and Yona over the country`s long-running power woes.

``Today, we are discussing problems with power supply in our country. But these problems were partly caused by
the former president and his friend, Daniel Yona. Using their own company, Tanpower Resource Ltd, Mkapa and
Yona bought the state-owned Kiwira coal-power project at 700m/-, which is far below the actual value of 4bn/-,`` charged Vunjo MP Aloyce Kimaro (CCM).

He said Mkapa and Yona corruptly and secretly purchased the Kiwira power project at the throwaway price in the name of implementing the privatisation policies then in vogue, adding that the controversial purchase was effected in 2005.

He expressed disappointment that, as if that was not bad enough, Mkapa and Yona went on pay a meagre 70m/- as down payment out of the full 700m/- they were supposed to pay.

``It`s extremely painful seeing that they are yet to complete paying the money (700m/-) despite the fact that the project was grossly underpriced and that they sold a state-owned company to their own firm at a paltry 700m/- instead of 4bn/-,`` a visibly shaken Kimaro noted.

He explained that Tanpower Resource and Tanesco also secretly entered into a dubious contract under which the former is now paid a daily 146m/- in so-called capacity charges.

The MP asked President Jakaya Kikwete ``to say No to corrupt public leaders`` and take severe action against all those implicated in dubious contracts that have cost the nation a fortune.

``We cannot solve our electricity and other problems if we don`t take drastic action against these corrupt public leaders. They are a huge disgrace and an embarrassment Very shameful Why do we embrace and entertain elements of such ilk?� queried a fuming Kimaro.

``It`s high time President Kikwete stood firm and said No� a big No to all corrupt leaders. He should not tolerate such leaders. The realization of a better life for all Tanzanians will be impossible if we don�t pin them down,`` he added.

Contributing on the debate, Manju Msambya (Kigoma South - CCM) said NetGroup Solutions ``killed`` Tanesco instead of strengthening the operations of the state-run firm. The South African firm was contracted to manage Tanesco during the Mkapa presidency.

``They (NetGroup) did not come with any power solution in hand, only more problems In short, I could safely say: `They came! They divided us! They netted us! And then there was no solution`,`` stated the legislator.

Opposition MP Philemon Ndesamburo (Chadema) blasted NetGroup Solutions and the third-phase government, saying both contributed to Tanesco`s degeneration, plunging the country into a power crisis without record.

``The third-phase government is the one which caused the electricity problems we are witnessing today. They came up with dubious contracts and capacity charges amounting to billions of shillings but no electricity for wananchi,`` he observed.

The government is having a hard time trying to persuade MPs into endorsing the bill, thus paving the way for its enactment.

Minister Ngeleja was scheduled to wind up debate on the bill yesterday evening but by the time we went to press the fate of the bill still hung in the balance.

SOURCE: Guardian
 
Chenge, kisha Mkapa

Mwandishi Wetu Aprili 23, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Kitendo

KUTUHUMIWA kwa ufisadi na hatimaye kujiuzulu kwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, kumefungua njia ya umma kuhoji uadilifu wa viongozi wa siasa akiwamo Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Raia Mwema imeambiwa kwamba ukweli kwamba Chenge ndiye aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wote wa Serikali ya Mkapa, unatosha kuhoji uadilifu wa rais huyo mstaafu kwa kuwa Chenge ndiye aliyekuwa mshauri wake mkuu katika masuala ya Serikali.

“Sasa tanapitia upya mikataba ya madini, lakini mikataba ya aina hiyo na mingine, kama wa IPTL na TANESCO, ilipitishwa wakati wa Mkapa na Chenge.

“Kwamba sasa Chenge amekubali kukaa kando baada ya tuhuma hii moja tu ya rada, maana yake ni kwamba kama tunataka kama nchi tunaweza sasa kuanza kuhoji mikataba mingine tujue huko nako ni fedha kiasi gani ziliingia katika mifuko binafsi,” anasema mwanasiasa mmoja ambaye aliomba asitajwe.

Mwanasiasa huyo na wengine kadhaa, walikuwa wakizungumzia hatua ya waziri Chenge kutangaza kujiuzulu siku chache tu baada ya tuhuma dhidi yake kuandikwa katika magazeti ya Uingereza, akidaiwa kuwa alihusika katika kupokea fedha zipatazo bilioni moja kwa shilingi za Tanzania, zilizotokana na ununuzi wa rada kutoka katika kampuni ya BAe ya Uingereza.

Chenge baada ya kufika nchini akitokea ziarani China, alikanusha kuwa anahusika katika tuhuma hizo, na akasema kwamba hata hivyo, fedha hizo zilikuwa ni vijisenti tu kwa viwango vyake na kwamba tuhuma hizo zisingemfanya ajiuzulu.

Raia Mwema imefahamishwa kwamba suala hilo si dogo kama ambavyo Chenge alijaribu kuliweka, ukweli ni kwamba ni unyeti huo uliofanya yeye arejee nchini kabla ya wenzake waliokuwa naye ziarani China.

“Hilo si suala dogo. Japo aliondoka wakati tayari akiwa amekwisha kuhojiwa, mambo yalipopamba moto ilibidi aambiwe arudi huku wengine wakiendelea na safari katika ngwe iliyokuwa imebaki,” anasema ofisa mmoja mwandamizi ndani ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi akieleza kwamba kundi jingine alilokuwa ameandamana nalo Chenge liliendelea na safari ya Ulaya wakati yeye akirejea.

Lakini habari zinasema pia kuhusishwa kwa Mkapa katika mtiririko huo wa Chenge kunatokana na ukweli kwamba kama alivyo Mkapa, Chenge naye anatumia huduma za wakili Joseph Mbuna, mwenye uhusiano wa kibiashara na kifamilia na rais huyo mstaafu.

Pamoja na kwamba zimekuwapo jitihada za kumuepusha Mkapa zinazoelekezwa kwa Chenge na wanasiasa wengine, kuingia kwa Mbuna katika utetezi huo kunaelezwa kuwa kutaibua ambo mazito zaidi yaliyokuwa yamejificha.

Mbali ya kuwa pamoja na familia ya Mkapa katika kampuni tata ya Kiwira Coal Mines, Mbuna anaunganishwa na familia ya rais huyo mstaafu kutokana na watoto wao wawili kuoana na hatimaye kuwa pamoja na wazazi wao katika biashara mbalimbali, ambazo zimekuwa zikichunguzwa.

Rada inayomtia matatani Chenge na Mkapa ilifika nchini mwaka 2002, baada ya mchakato wa ununuzi huo kufanyika kuanzia mwaka 1999, ukiwahusisha viongozi mbalimbali, akiwamo Mkapa na watendaji wa idara mbalimbali serikalini.

Mkapa, ambaye aliingia madarakani mwaka 1995 akiwa mmoja wa viongozi waliobebwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, kwa ‘bendera’ ya kuwa ni mtu safi (Mr.Clean), sasa yu katika wakati mgumu kutokana na kuibuka kwa tuhuma mbalimbali, ambazo sasa kuna kila dalili kwamba hawezi kuzikwepa na nyingine zinamuelekea moja kwa moja.

Mkapa kama kiongozi mkuu, amekuwa akitajwa kuhusika na ubadhirifu Benki Kuu (BoT) ambako sasa kunaaminika kuwa mabilioni ya fedha yalichotwa chini ya kivuli cha shughuli nyeti za nchi.

Kwingine anakotajwa Mkapa ni katika kampuni ya Meremeta, ambayo kuwako kwake kumekuwa kukiichanganya sana Serikali.

Vyanzo kadhaa vya habari vinasema Rais Mstaafu Mkapa alishinikiza na kuidhinisha kuanzishwa kwa kampuni hiyo tata inayohusishwa na upotevu wa Sh. bilioni 155. Tayari Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ametamka kwamba ofisi yake haijawahi kukagua hesabu za Meremeta Gold, na kampuni hiyo haimo katika orodha ya makampuni yanayomilikiwa na Serikali ama kwamba Serikali ina hisa humo.

kizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma, CAG, Utouh, alisema wazi kwamba Meremeta haimo katika orodha ya makampuni na mashirika ya umma ambayo yamewahi kukaguliwa na ofisi yake, hoja ambayo inapinga ile iliyopata kusema kwamba Meremeta ni mali ya umma.

Utata huo unaongezwa na taarifa za kwamba serikali kupitia Msajili wa Hazina ilitoa cheti cha kuithibitisha Meremeta kuwa kampuni ya umma tokea Oktoba mosi, 1997, baada ya kudaiwa kwamba serikali ilikuwa na hisa katika kampuni hiyo, hisa zilizoshikiliwa na watendaji wakuu serikalini, ambao hata hivyo hadi sasa wanaendelea kuzishikilia baada ya baadhi yao ama kuondolewa au kubadilishwa nafasi zao. Hao ni pamoja na Chenge ambaye amekuwa Mkurugenzi wa Tangold, ambayo ilichukua nafasi ya Meremeta iliyofilisiwa.

Habari zinasema kwamba tayari uchunguzi wa kina umekwisha kuanza kufuatilia, hasa zilikokwenda fedha hizo kiasi cha Sh. bilioni 155, zikiwa ni nyingi zaidi ya zile zilizochotwa BoT kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA). Sakata la EPA linahusisha Sh. bilioni 133.

Wakati haya yote yakifahamika, baadhi ya wabunge wamesema kwamba kujiuzulu kwa Chenge Jumapili iliyopita, ni jambo ambalo walikuwa wanalitarajia, na kwamba amechelewa mno kuchukua hatua hiyo.

Wamesema haikuwa sahihi kwa Chenge kusubiri hadi anyooshewe kidole.

Eneo mojawapo ambalo baadhi ya wabunge wamesema walikuwa na mashaka na utendaji wa Chenge, hasa kutokana na mikataba mingi mibovu, ambayo nchi iliingia wakati Chenge akikalia kiti cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Wabunge wengine walisema kwamba kujiuzulu pekee hakutoshi, bali ni kwenda mbali zaidi kwa kujivua nyadhifa za CCM na nyingine zilizoko nje ya uwaziri. Chenge ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Kamati Kuu.

Wakati kujiuzulu kwa Chenge bado hakujapoa wala kufutika kwenye kumbukumbu za watu, wapinzani nao wamepeleka hati zao za kuomba kukagua daftari la mali na madeni ya viongozi mbali mbali, akiwamo Rais Mstaafu Mkapa na Chenge mwenyewe.

Katika ombi lao kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, wanataka pia kukagua daftari hilo kuona mali za Rais Jakaya Kikwete, Mbunge wa Rombo, Basil Mramba, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, Mbunge wa Musoma Vijijini Nimrod Mkono, Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa na aliyekuwa Gavana wa BoT Daud Balali.

Wengine ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Patrick Rutabanzibwa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini (aliyejiuzulu), Nazir Karamagi.
 
Power woes:MPs descend on Mkapa, Yona

2008-04-23 09:39:57
By Judica Tarimo, Dodoma

Members of Parliament yesterday blamed the power crisis Tanzania has been facing squarely on controversial agreements signed during the third-phase Benjamin Mkapa presidency, when Daniel Yona was Energy and Minerals minister.

They described the contracts as having been so overly dubious, corruption-induced and costly that they threw the country into needless acute social and economic problems.

Debating the 2008 Electricity Bill in the National Assembly, the legislators also said Mkapa and Yona were the primary cause of the current bad blood between the government and MPs over whether the bill should be endorsed.

Energy and Minerals minister William Ngeleja tabled the bill three days ago.

National Assembly Speaker Samwel Sitta was forced to extend debate on the bill, which some legislators have rejected outright.

At the centre of the controversy are provisions which open the doors to Tanzania`s electricity generation and supply sector to private and foreign players that would inevitably compete with the giant but struggling state-owned Tanzania Electric Supply Company (Tanesco).

While some MPs view the open-door policy introduced by the government as a threat to the crucial power sector and the entire Tanzanian population, others see it as a liberating factor, particularly for rural areas with no access to the benefits electricity offers.

In a dramatic turn of events, some lawmakers yesterday openly pointed an accusing finger at Mkapa and Yona over the country`s long-running power woes.

``Today, we are discussing problems with power supply in our country. But these problems were partly caused by
the former president and his friend, Daniel Yona. Using their own company, Tanpower Resource Ltd, Mkapa and
Yona bought the state-owned Kiwira coal-power project at 700m/-, which is far below the actual value of 4bn/-,`` charged Vunjo MP Aloyce Kimaro (CCM).

He said Mkapa and Yona corruptly and secretly purchased the Kiwira power project at the throwaway price in the name of implementing the privatisation policies then in vogue, adding that the controversial purchase was effected in 2005.

He expressed disappointment that, as if that was not bad enough, Mkapa and Yona went on pay a meagre 70m/- as down payment out of the full 700m/- they were supposed to pay.

``It`s extremely painful seeing that they are yet to complete paying the money (700m/-) despite the fact that the project was grossly underpriced and that they sold a state-owned company to their own firm at a paltry 700m/- instead of 4bn/-,`` a visibly shaken Kimaro noted.

He explained that Tanpower Resource and Tanesco also secretly entered into a dubious contract under which the former is now paid a daily 146m/- in so-called capacity charges.

The MP asked President Jakaya Kikwete ``to say No to corrupt public leaders`` and take severe action against all those implicated in dubious contracts that have cost the nation a fortune.

``We cannot solve our electricity and other problems if we don`t take drastic action against these corrupt public leaders. They are a huge disgrace and an embarrassment Very shameful Why do we embrace and entertain elements of such ilk?� queried a fuming Kimaro.

``It`s high time President Kikwete stood firm and said No� a big No to all corrupt leaders. He should not tolerate such leaders. The realization of a better life for all Tanzanians will be impossible if we don�t pin them down,`` he added.

Contributing on the debate, Manju Msambya (Kigoma South - CCM) said NetGroup Solutions ``killed`` Tanesco instead of strengthening the operations of the state-run firm. The South African firm was contracted to manage Tanesco during the Mkapa presidency.

``They (NetGroup) did not come with any power solution in hand, only more problems In short, I could safely say: `They came! They divided us! They netted us! And then there was no solution`,`` stated the legislator.

Opposition MP Philemon Ndesamburo (Chadema) blasted NetGroup Solutions and the third-phase government, saying both contributed to Tanesco`s degeneration, plunging the country into a power crisis without record.

``The third-phase government is the one which caused the electricity problems we are witnessing today. They came up with dubious contracts and capacity charges amounting to billions of shillings but no electricity for wananchi,`` he observed.

The government is having a hard time trying to persuade MPs into endorsing the bill, thus paving the way for its enactment.

Minister Ngeleja was scheduled to wind up debate on the bill yesterday evening but by the time we went to press the fate of the bill still hung in the balance.

SOURCE: Guardian

huu moto unawaka taratibu kama wa gesi lakini muda si mfupi Mkapa atakuwa kaanikwa kila mahali kwa yote aliyofanya.
 
Members of Parliament yesterday blamed the power crisis Tanzania has been facing squarely on controversial agreements signed during the third-phase Benjamin Mkapa presidency, when Daniel Yona was Energy and Minerals minister.

Saaafi sana, wabunge wasilale tena saa ndio hii imefika ya ukombozi!
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameliambia Bunge leo asubuhi kuwa serikali inafuatilia kwa karibu taarifa zote zinazohusisha madai ya ufisadi dhidi ya viongozi wa awamu ya tatu.

Amesema iwapo itabainika kuwa kuna viongozi wana kesi za kujibu kuhusiana na matendo yao ya kifisadi, watachukuliwa hatua za kisheria.
 
Amesema iwapo itabainika kuwa kuna viongozi wana kesi za kujibu kuhusiana na matendo yao ya kifisadi, watachukuliwa hatua za kisheria.
Mkuu nadhani hii niiweke kwa mtindo wa swali kwakuwa bado haijaeleza bayana kuwa anayechunguzwa ni Mkapa. Ila ukweli ni kuwa pamoja na zunguka yote Mkapa ni mmojawapo wa walengwa!
 
Mkuu nadhani hii niiweke kwa mtindo wa swali kwakuwa bado haijaeleza bayana kuwa anayechunguzwa ni Mkapa. Ila ukweli ni kuwa pamoja na zunguka yote Mkapa ni mmojawapo wa walengwa!

Wanachunguzwa na chombo gani, wanchunguzwaje, tutakuwa na uhakuka gani kama zoezi hilo linaendelea, halafu nadhani alitakiwa awataje kwa majina
 
sio waliotangazwa na umma tu kuwa wanahusika na ufisadi, na hata walokuwa hawajatajwa bado tunaomba wafuatiliwe.

au walokuwa hawajashtukiwa ndo iwe basi?
 
Tusubiri tuone, wanaochunguza wanatoka wapi? kwani walikuwa wapi? Pinda ajue bado sisi watanzania tuna imani naye wala asiwatetee hawa jamaa.
 
Kosa si kutenda kosa, bali kurudia kosa (Pinda, 2008). Maana yake viongozi wa awamu ya tatu wakifisadi tena labda wataweza kuchuliwa hatua...what a crap...!
 
"Kosa si kutenda kosa bali kurudia kosa" is logically inconsistent kwa sababu each time kosa linatendeka litakuwa looped back in an endless iteration.

Mfano

Kosa1= Si Kosa

Kosa2=Kosa (limerudiwa from Kosa1)

but Kosa2 halijarudiwa (kurudiwa kosa hakujarudiwa)

Therefore Kosa2 becomes Kosa1= Si Kosa

Repeat ad infinitum with no escape
 
may be style ya kuwachunguza ibadilishwe huenda wakatueleza ukweli wa uchunguzi wao lakini kama ndio style ya uchunguzi tuliyozoea usishangae mchunguzaji na mchunguzwaji wote wevi...otherwise we need to deploy Scotland Yard wanaweza kuwa wakweli....
 
Tusubiri tuone, wanaochunguza wanatoka wapi? kwani walikuwa wapi? Pinda ajue bado sisi watanzania tuna imani naye wala asiwatetee hawa jamaa.

BAdo unaimani na mtu aliekwisha kuambia kuwa serikali haiwawezi mafisadi???? huoni kuwa nae kashindwa kazi?
 
Kuchunguzwa ni lugha ya kuhairisha tatizo tena ya kisanii.
Tunachotaka kusikia ni kuwa KIWIRA Coal Mines ltd imetaifishwa na kurudishwa serikalini na pia hizo CAPACITY CHARGE zimesitishwa.

Kwenye capacity charge hapo ndipo kiini cha kufisadi maana kulipwa kila siku 146M ni ujambazi wa hali ya juu wa kuibia wananchi.
 
Serikali ya awamu ya nne na ya tatu hazina tofauti yeyote wote ni mafisadi.huwezi kuwa msafi wakati wafuasi wako wamejaa madhambi tupu,Huyu Jakaya katokea peponi la hasha alikuwa Waziri serikali ya awamu ya tatu,Nchi za ulaya na Marekani huondoa chama chote madarakani na kuweka chama kipya Tanzania mnasubiri nini mpaka mfe kwa njaa?
 
"The Economist" la wiki hii limeitaja offhandedly Tanzania kama moja ya nchi zinazochunguza madai ya rushwa za BAE. Soma hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom