Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
Niseme machache tu,
Naona kuungana si sawa na haiwezekani, kila chama kina falsafa yake, na hiyo ndio nguzo ya chama chochote, mf CCM ni chama cha mapinduzi cha wakulima na wafanyakazi, sijui kama falsafa hii bado hai maana kwa sasa kuna wasio na kazi wengi sijui wataingia kundi gani, naona falsafa yao imepitwa na wakati ndio maana wanaanza kuweka na udini ktk malengo yao,anyway ni falsafa iliyokufa, CHADEMA wana falsafa ya nguvu ya umma, hii ni falsafa hai maana kila muda review za malengo yake lazima ilenge kufaidisha umma kama mwajiri wake, ndio maana hata waiponde vipi chadema itaendelea kufanya ve,a na wasiokubali falsafa hii wataondoka na kuiacha hai. CUF yenyewe inatetea haki sawa kwa wote, sijui kama kweli hilo wanalifanya maana sihaona wakitetea wachimbaji wadogo waliofukiwa na wanaotaabika machimboni, huo mfano mmoja tu. UDP upendo daima kama TYCS vile safi lakini hoja mtawezaje kuungana ,kiwa falsafa tofauti, utakuwa unafiki, labda muunganishe falsafa zenu. Kuna vyama vina falsafa za kidini, huko ndio ni,eona siku za karibuni hata CCM wakijiegemeza kupata huruma ya wapiga kura. Kwa ufupi kuungana ni unafiki na pandikiz la chama tawala kupata mahala pa kuongelea maana kama hivyo mbona CCM haijawahi kuungana na cha,a chochote kuunda serikali ukiachia hayo ZNZ ambayo ilikuwa lazima ya mazingira. Waacheni CHADEMA waitwe CHADEMA, waacheni CCM waitwe hivyo, waacheni NCCR waitwe hivyo, waacheni CUF waitwe hivyo nk. Anayeshinda (sio kwa dhuluma na wizi kama uchaguzi wa mwaka huu), basi achukue nchi vingine vibaki kuwa vyama vya upinzani na nchi itasonga ila kwa wizi huu wa CCM nchi wataiingiza ktk machafuko na ndio watakaoleta vita pale umma utakapoamua nao kung'ang'ania. Katiba mpya itaondoa dhuluma na kuleta matumaini maana sasa nchi iko gizani, sio kisiasa bali kwa ajili ya maendeleo. Asante