britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,166
- 33,538
- Thread starter
- #21
Kwenda kusoma au kufanyaje, mkuu nisikupe matumain ya buleUzi safi snaa, vp kwa watu wanaosoma kozi za afya hasa diploma mfano diploma ya famasi na clinical officers?
Wazungu wanaheshimu sana kitu afya ya binadamu, na ubongo/ elimu anayopaswa kupata mtoto, so rahisi kukupa kazi hizo mtanzania au kwafrica uliyesoma kwa kusuasua, kucopy research za watu na ukapewa alama za juu, kusoma unalalamika njaa, kusoma kwa kuhisi kifaa kinafanana hivi badala ya kukitumia, hawawez kamwe kukupa Kazi hiyo, we waweza labda kuuza maduka ya madawa na si Mwenyewe yaan unakuwa msaidiz,