Mizigo imezidi Bandarini yaani malori barabarani hadi karaha

Wanachoweza ni kukamata kamata hovyo.

Hawakamati hovyo, mbona wewe haujakamatwa? Wanakamata wachochezi, wapinzani wasiokuwa na chakupinga badala yake wamekuwa wachochezi na uwongo mwingi na kuvuruga amani.
 
Thubutu.
Watu wamepaki malori yao ndani.
Mtaani kumejaa Pick Up, Kirikuu na Bodaboda huku zikibeba vyakula vya mifugo, mbogamboga na shehena za Pombe.
 
Hawakamati hovyo, mbona wewe haujakamatwa? Wanakamata wachochezi, wapinzani wasiokuwa na chakupinga badala yake wamekuwa wachochezi na uwongo mwingi na kuvuruga amani.
Hata cha kupinga mnawachagulia?
Enewei kivuko kimegawiwa walugaluga.
 
Kwahyo mizigo na chadema wanauhusiano gani mbona munakuwa na kama watu wasio nauelewa kabisa
 
Back
Top Bottom