Bulichekah
Member
- Jan 12, 2014
- 68
- 186
Wapendwa wanajamii Forum, nimekusanya kwa muda mrefu na nikafanikiwa kuwa na bajeti ya USD 5000 kwa ajili ya kununua gari. HII NI BILA KODI YA TRA. Gari ninayopenda na ambayo naiona nzuri kwa upande wangu ni MITSUBISHI OUTLANDER. Nimekuja kwenu ndugu zangu ili kuomba ushauri ili kufanikisha kusudi hili nikiwa na uelewa mzuri kuhusu manunuzi y2a gari pamoja na ubora wa gari linaloagizwa.
Naombeni mnisaidie chochote mnachofahamu kuhusu MITSUBISHI OUTLANDER. Nataka ya kuanzia mwaka 2005 kwenda juu.
Naombeni mnisaidie kufahamu yafuatayo:
1. MILEAGE NZURI ya gari ya kuagiza toka JAPAN kwa hiyo gharama ya USD 5000
2. Jinsi ya KUTAMBUA UBORA WA GARI
3. Jinsi ya kupata punguzo la bei
4. Uhakika wa mchakato mzima wa malipo maana Naogopa kupigwa na wajanja wa mtandaoni.
5. Gharama za ziada ni zipi gari ikishafika Bandarini
6. Mambo muhimu ya kuzingatia gari ikishapokelewa.
7. Je kati ya 2WD au 4WD ni ipi nzuri?
MITSUBISHI OUTLANDER NI GARI NILILOCHAGUA LAKINI KAMA KUNA AINA NYINGINE YA GARI NZURI, GARI YA JUU (SUV) NAOMBA PIA USHAURI
Asanteni sana