Tetesi: Misri ipo mbioni kupokea wakimbizi kutokea Palestina

Echolima1

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,309
1,264
Huenda Misri inaweza kubadili msimamo wake wa muda mrefu wa kukataa wakimbizi wa Kipalestina kutoka Gaza. Kwa mujibu wa Al Akhbar, Rais Abdel Fattah El-Sisi anafikiria kuruhusu hadi Wapalestina 500,000 kuingia Sinai kwa muda wakati Gaza ikikarabatiwa.

Mapema mwezi huu, Misri iliwasilisha mpango wa dola bilioni 53 kwa ukarabati wa Gaza, ukiwa mbadala wa maono ya Trump. Mpango huu unahusisha makazi ya muda kwa hadi Wapalestina milioni 1.5 na kuundwa kwa kamati ya kimataifa kusimamia utawala na misaada ya kibinadamu.

Mpango huu umeungwa mkono na Mahmoud Abbas na hata Hamas, huku Marekani ikionyesha nia ya kuuunga mkono ikiwa Hamas itaondolewa madarakani. Mabadiliko haya yanaweza kufungua njia kwa juhudi kubwa zaidi za kimataifa kushughulikia mgogoro wa kibinadamu Gaza.

========================================

IMG_1981.jpeg

In a significant shift in policy, Egypt may be on the verge of reversing its long-standing refusal to accept Palestinian refugees from Gaza. According to Lebanon’s Al Akhbar newspaper, Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi has indicated a willingness to temporarily allow up to 500,000 Palestinians to enter the Sinai Peninsula while the Gaza Strip undergoes reconstruction.

This potential change would represent a major policy shift for Sisi, who has consistently resisted calls to shelter refugees, despite Egypt being one of only two countries sharing a border with Gaza.

Egypt’s sudden openness to accepting Gaza refugees marks a dramatic shift from its previous stance, where the country had resisted international pressure to provide sanctuary.

Diplomatic sources reveal that Israeli officials have long attempted to persuade international partners to exert pressure on Egypt, but their efforts have yielded little success.

However, with the situation in Gaza growing increasingly dire, Egypt may now be reconsidering its position.

Source: J Feed
 
Habari za uhakika kutoka vyombo vya habari vya Misri vimedhibitisha nchi hiyo imekubali kuwapokea vibaka kutoka Gaza wasizidi Millioni moja na watapelekwa kwenye jangwa la Sinai wakaishi huko.
Kwa mtindo huu kuna uwezekano mkubwa na nchi zingine hasa zile za kiislamu wanaweza kuwapokea kwenye nchi zao.
Kuwa na heshima na binadamu basi mkuu.
 
Sio vibaka kuna wema na ambao hawana shida.Kwa hiyo una maanisha wote wanaokuwepo ccm hawana akili.
Ukiona video za waliyoyafanya Oct 07,2023 huwezi kuamini hao ni binadamu walikuwa wanazipiga Fimbo mpaka maiti, wanawake wanawabaka baadaye wanawaua!! Wewe huwashangai kutwa nzima wanatembea na maiti hawataki kuwarejesha!! Kwako wewe hao ni binadamu kweli?
 
Habari za uhakika kutoka vyombo vya habari vya Misri vimedhibitisha nchi hiyo imekubali kuwapokea vibaka kutoka Gaza wasizidi Millioni moja na watapelekwa kwenye jangwa la Sinai wakaishi huko.
Kwa mtindo huu kuna uwezekano mkubwa na nchi zingine hasa zile za kiislamu wanaweza kuwapokea kwenye nchi zao.
Anawapokea akina nani?Astaghifilullah!
 
Habari za uhakika kutoka vyombo vya habari vya Misri vimedhibitisha nchi hiyo imekubali kuwapokea vibaka kutoka Gaza wasizidi Millioni moja na watapelekwa kwenye jangwa la Sinai wakaishi huko.
Kwa mtindo huu kuna uwezekano mkubwa na nchi zingine hasa zile za kiislamu wanaweza kuwapokea kwenye nchi zao.
Gaza hawakai Hamas tuu, Kuna raia wa kawaida kama Mimi na wewe. Wakristo hata kama ni wachache, waislam na makundi madogomadogo yasiyopenda Vita.
Kuwa mwelewa was hali wanayopitia raia wema.
 
Ukiona video za waliyoyafanya Oct 07,2023 huwezi kuamini hao ni binadamu walikuwa wanazipiga Fimbo mpaka maiti, wanawake wanawabaka baadaye wanawaua!! Wewe huwashangai kutwa nzima wanatembea na maiti hawataki kuwarejesha!! Kwako wewe hao ni binadamu kweli?
Mbona unakuwa mnafiki kwani mogogoro umeanza Oct 7, una insist hio tarehe as if matatizo yameanzia hapo, wapelistina wameteseka zaidi ya miaka sabini kuombea wapate taifa lao, unasemea siku moja, haoni kama una upungufu wa akili na maarifa yako ni finyu. Leo kwa sababu Hawa watu Wanarangi na dini tofauti unawaona vibaka. Ingekuwa ni kipindi cha ubagazi afrika kusini ANC walivyokuwa wanalipuwa Maduka na malls na kuuwa wazungu waki pigania uhuru wao mmasema Hawa wanapigania haki kisa rangi yako inafanana na Hao wanaolipua, mkifanana wanakuwa freedom fighters msipofanana wanakuwa terrorists. Nielezee tofauti ya ANC uMkhonto we Sizwe na Hamas. Wewe leo Africa kusini ingekuwa hajipta uhuru leo na waafrika wanauwawa kupiginia ardhi ungekuwa Unalilia waafrika wenzako. Acha kuropoka mnafiki mkubwa wewe
 
Whatever you call it Uliona wapi wewe binadamu anakatalia maiti na anatembea nayo zaidi ya mwaka? Nakushangaa hata kuwatia freedom-fighter yaani wabakaji,watekaji nyara watu na wabakaji siku hizi wanaitwa Freedom-fighter? They started this war now they are playing Victims!! Wachokoze wao wakipigwa wewe unasema wameteseka huo ni Ujinga!! Wewe Unaijua historia yao!? Wewe unaongelea historia ya miaka sabini wakati wayahudi wako huko zaidi ya miaka 3,000 walikuwepo akina Daud,Suleman na wengine wengi tu. Hebu nitajie na wewe waliokuwepo hapo enzi za hiyo unayoiita wewe Palestina. Kwa taarifa yako hao walianza kuitwa wapalestina na Yasser Arafat mwaka 1967 kabla ya hapo hapakuwepo watu waliokuwa wanaitwa wapalestina. Hao ni waarabu kama waarabu wengine wa Misri au Jordan tu
 
Hiyo Alssi ni mnafik. Kishatishwa atakatiwa misaada kaogopa.

Mimi huwa nawashangaa sana kila maamuzi wanayotoa nchi zenye msimamo wa kati daima mna wala majina mabaya kama Mnafiki,Kibaraka na majina mengine mengi. Lakini wakifanya vituko mfano Iran,Hezbollah,Houthi,Hamas mnawapongeza na kuwaambia wao ni majasiri na wanaume shida nini hasa?
 
Gaza hawakai Hamas tuu, Kuna raia wa kawaida kama Mimi na wewe. Wakristo hata kama ni wachache, waislam na makundi madogomadogo yasiyopenda Vita.
Kuwa mwelewa was hali wanayopitia raia wema.
Watu kama hao hawakosi Gaza angalia video walizoposti wao wenyewe Oct 07,2023 ndipo utajua hakuna raia wema huko Gaza wote ni Hamas. Angalia video wakati wanabadirishana mateka hasa wakati wa Bibas family waone wakati maiti za watoto zikiletwa hapo jukwaani. Nakwambia hao si binadamu wa kawaida ni MONSTERS na ndiyo maana hata nchi za kiarabu hazitaki kuwapokea vibaka hao!!
 
Ukiona video za waliyoyafanya Oct 07,2023 huwezi kuamini hao ni binadamu walikuwa wanazipiga Fimbo mpaka maiti, wanawake wanawabaka baadaye wanawaua!! Wewe huwashangai kutwa nzima wanatembea na maiti hawataki kuwarejesha!! Kwako wewe hao ni binadamu kweli?
Shida yako huwa unaropokwa kama umerogwa ama umekunywa gongo.
Kama ungeona walichofanya Israel August 23 2023 Basi usingewalaumu Hamas kwa walichofanya.
For your big stupidity kila mwaka Israel inakamata watoto wadogo na kuwaweka jela za watu wazima.
DUNIANI JELA ZA ISRAEL NDIO JELA PEKEE ZINAZOSHUTUMIWA KWA CHILD OPRESSION.
NDANI YA JELA ZA ISRAEL KUNA WATOTO MIAKA 12 KUSHUKA CHINI WAMEFUNGWA.
Na hiyo ripoti imetoka AMNESTY INTERNATIONAL.
UWe unapunguza kuropoka.
 
Hata kama umefunga basi akili yako isifunge iache if any kazi. Kwanza Jiulize kwa nini watoto? Pili Jiulize wamefungwa kwa kosa gani? Kwa taarifa yako ni kuwa ni kawaida ya magaidi kuwatumia wanawake na watoto katika Ugaidi nchini Israel ilibidi kuwakamata watoto waliofikisha miaka 12 na kuwafikisha mahakamani wakifikisha miaka 14 hii ilitokana na watoto wengi kujihusisha na Ugaidi. Na si kweli kuwa mwenye miaka 12 anafungwa mpaka afikishe miaka 14 ndipo anafunguliwa Mashtaka na kufungwa acha uzushi wakati umefunga!!. Wewe unawaamini Amnesty International kwani Oct 07,2023 walifanya nini?
 
Back
Top Bottom