Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

Mimi nashukuru mshahara kuchelewa,kesho wilayani kwangu kuna mwenge na tumeawbiwa kila mtumishi lazima achangie sh 3000/=na kununua tracksuit sh 30,000/= na nilazima kwenda kukesha kwenye mwenge kwani utjakuwa kijiji jirani
Duh..kuajiriwa serikalini ni miyayusho sana..kwani usiponunua traksuti ama kuchangia watakufanyaje.
 
Vipi mkuu mwajiriwa, na wewe tukuulize "umedeliver nini mwezi huu"!?
 
Back
Top Bottom