Wajiandae kuishi maisha ya kishetani
“Katika kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa tunayo Bodi ya Mishahara ambayo ilianzishwa katika Serikali ya awamu ya nne na jukumu lake kubwa ni kufanya mapitio ya mishahara mbalimbali na kuhakikisha mishahara ya watumishi wa umma haipishani sana.
Sio kupunguza tu pia kuweka uwiano sawa kwa watumishi wote tanzania kwahyo sio kaz rahicKatika kipindi cha miezi 15 ndiyo mishahara hiyo itapunguzwa jamani huu sio uhuni kweli
Ila ni vyema kukawa na uwiano sawa wa mishahara kati ya watumishi wooote wa serikali. Manake haiwezekani viwango vya elimu viwe sawa wakati viwango vya mishahara viwe tofautiIwapo mtu wa mshahara wa Milioni 15 ataishi kama SHETWANI, huyu anayepata Chini ya hapo au KCC ataishi kama nani?Bila shaka jibu ni kama MAITI au MAREHEMU tena aliyeko JEHANUM!
Jana Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alisema katika kipindi cha miezi 15 kuanzia sasa mishahara ya watumishi hao itapunguzwa na kuwa yenye uwiano.Wale jamaa zetu waliokuwa wanaishi kimalaika kati yetu sisi mashetani mishahara yao imeshashushwa ili walingane kimaslahi na sisi mashetani au bado wanapeta tu?
This is serious a case. Kwa hiyo Mh. Rais anaposisitiza kumbe tena tunahitaji miaka karibia miwili kutekeleza?? So sad Tanzania.Jana Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alisema katika kipindi cha miezi 15 kuanzia sasa mishahara ya watumishi hao itapunguzwa na kuwa yenye uwiano.
Soma mwanzo wa posti.
Hili suala lilijadiliwa sana ktk mjadala wa mwanzo na kama unaweza, rejea. Hakuna ubaya wowote ktk utumishi wa umma kupunguza mishahara. KIla mtumishi ana mkataba na serikali, lakini huo mkataba hauwezi kuzuia serikali kuongeza mishahara, kukuhamisha idara, kuangalia utendaji wako na kusema tunakulipa zaidi kuliko faida yako kwetu,Tupende kuzijua sheria za nchi yetu. Mimi CCM siwapendi, ila pia sipendi ushabiki wa kivyama kwa kila hoja. Sasa unadhani kumpunguzia mtu mshahara mlioingia kwenye mkataba unaweza ukaamka leo na kusema, nakupunguzia mshahara!?
Nadhani aliposema kipindi cha miezi 15 amemaanisha ndani ya huo muda kila kitu kitakuwa kimekamilika. Kumbuka wengi wao ni presidential appointees na huwa madarakani kwa vipindi maalum na pia Raisi anaweza akatengua uteuzi. Tusubiri tuone nini kitafuatia
Time tells evthng. Rais is just but a person with more authority than many in a populace......This is serious a case. Kwa hiyo Mh. Rais anaposisitiza kumbe tena tunahitaji miaka karibia miwili kutekeleza?? So sad Tanzania.
kilichoelezwa na waziri hapa ni maigizo na hakieleweki.
Lazima twende sawa tu.
This is serious a case. Kwa hiyo Mh. Rais anaposisitiza kumbe tena tunahitaji miaka karibia miwili kutekeleza?? So sad Tanzania.
as long as jamiiforums ipo tutakua tunakumbushana tuuu!!!Hadi miezi hyo 15 iishe nadhani kila mtanzania atakuwa amesha sahau