Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Yaan hela imeingia afu sijatoa hata mia had now…
Yaan maish haya tunatofautiana pakubwa

Leo boss anasema yaan hela imeingia nshaigawanya yoote
Afu me ipo na na nnavyoona inaweza hadi nichukua wiki kuitumia
Anyway majukumu nayo yanachangia
 
Laana za kujitakia, moderators mko wapi? Hii siyo mara ya kwanza nyuzi za kudhalilisha walimu, shame on you
 
Back
Top Bottom