Interview ilikuwa nzuri, na wanaopenda au waliopo kwenye modeling &beauty industry watakuwa wamejifunza mengi toka kwa interview miriam &mkasi, hasa kwenye eneo la confidence, determination, exposure and understanding.anaonekanahao nshomile waende wakachukue kozi ya kujisifu kutoka miriam odema. lakini anaonekana ni mchangamfu sana, kipindi kililkuwa kizuri.
Elimu ya kwenye life ni long-term, ya darasani ni ta muda tu.....anza kutumia every opportunity to learn bra/sis.Unaangalia kipindi cha mkasi ujifunze kwa macelebrity? Achia sofa nenda shule, hakuna cha kujifunza kwa kina Odemba, labda kama unatafuta babu wa kizungu
Hahaaa. Alisahihishwa bado akarudia tena baadaye MAANDAMOAlipokelewa na maandamo
Hakika. Ilifikia wakati akawa anajibu bila kuelewa swali, hata alipokatishwa ili aeleweshwe swali alikuwa hasikilizi. Too much of anything is harmful.Back to the topic,
kipindi kilikua hovyo sana baada ya interviewee kudominate mjadala. Salama nae akaona isiwe tabu akamwacha miriam atambae anavyotaka. Haikupendeza na salama kama uko humu jf (najua umo) tafadhali siku nyingine usiwe unamwacha interviwee atawale.
Tengua kauli kuhusu Wafilipino. Tamthilia ndefu lakini zimetulia, upo?too much is harmful
anaongea mpaka anaboa, ingawa FACT ila alitakiwa ajibu kwa ufupi sio stori ndeeefu kama tamthiliya ya kifilipino
Next time Salama asiwe anaalika malimbukeni, awe anaangalia watu wanaojielewa na wenye ufahamu wa kina ili audience tufaidike na show. Nazikubali sana show alizofanya na Masoud kipanya na ile ya Ruge wa cloudsHakika. Ilifikia wakati akawa anajibu bila kuelewa swali, hata alipokatishwa ili aeleweshwe swali alikuwa hasikilizi. Too much of anything is harmful.
Oh mshana please please laiti ungemsikia ungejua tunachojadili. Hatumchukii, lakini ujue hili ni jukwaa la kujifunza, (ukiachana na hao wa udaku). Ishu hapa ni mihemko aliyokuwa nayo iliharibu kwa kweli.Sijasikia alichoongea lakini daima nampongeza kwa ujasiri na kujiamini alishinda u miss Tanzania akitokea darasa la saba hakuwa na uzoefu wowote wala elimu ya kutosha na umri pia ulikuwa bado...magazeti ya udaku yakamdaka juu kwa ju. ..yakaandika kila upuuzi kumvunja moyo habari nyingine Zikiwa za kusingiziwa....yani badala ya kumjenga wao wakawa wanambomoa na kumkomoa halafu akayumba lakini akasimama imara kisha akapasua, mwacheni aongee nyodo visiki alivyopitia ni vingi
Mkuu mshana jr,naomba tafuta muda ufuatilie hiko kipindi then ndio uchangie...ulichokiandika hapa ni kama haututendei haki wadau.
Maoni yangu yamekinzana na post hii kama kakosea hapa naomba nisiwe mtetezi wake kwakuwa kwa hakika sijui alichoongeaOh mshana please please laiti ungemsikia ungejua tunachojadili. Hatumchukii, lakini ujue hili ni jukwaa la kujifunza, (ukiachana na hao wa udaku). Ishu hapa ni mihemko aliyokuwa nayo iliharibu kwa kweli.
walikuwa wanaogopa French, Miriam siku hizi anajua kifaransa ,mie naona alichangamka tu alikuwa na confidence....kwa ufupi miriam anajielewa sio kama yule wanjera
of course alijifu lakini si kwa ubaya,alisema yeye analinda heshima ya jina la odemba, jina la odemba ni kubwa sio dogo, ndio akaanza kutolea mifano ya baadhi ya ndugu zake na status zao, hakuwa mbaya inakukumbusha mtu kujitambua na kujua hadhi yakoMaoni yangu yamekinzana na post hii kama kakosea hapa naomba nisiwe mtetezi wake kwakuwa kwa hakika sijui alichoongea
Usisahau mrejeshoDuhhhh ngoja niingie you tube.
Nimepitwa.
miriam odemba haja wahi kua miss tanzania. Get ur facts straightSijasikia alichoongea lakini daima nampongeza kwa ujasiri na kujiamini alishinda u miss Tanzania akitokea darasa la saba hakuwa na uzoefu wowote wala elimu ya kutosha na umri pia ulikuwa bado...magazeti ya udaku yakamdaka juu kwa ju. ..yakaandika kila upuuzi kumvunja moyo habari nyingine Zikiwa za kusingiziwa....yani badala ya kumjenga wao wakawa wanambomoa na kumkomoa halafu akayumba lakini akasimama imara kisha akapasua, mwacheni aongee nyodo visiki alivyopitia ni vingi
Alikuwa nani miss Temeke?miriam odemba haja wahi kua miss tanzania. Get ur facts straight