Urithi lazimawatoto nao watafute maisha yao wasisubiri urithi
Hayo maisha watayatafutia wapi pasipo kuwaandalia wewe mzazi?watoto nao watafute maisha yao wasisubiri urithi
Kumbe inawezekana mtu kuabika hata baada ya kufaCelebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
hayo mawazo ndiyo yanayopotosha vijana na kuanza kukaa vijiweni kusubiri mirathi.Hayo maisha watayatafutia wapi pasipo kuwaandalia wewe mzazi?
Acha kukimbia majukumu yako wewe. Kama hutaki kuwaachia watoto wako urithi, basi usizae.
Mimi namaanisha ili watoto wetu wasiishi kwa kutegemea mirathi za wazazi wao, tunatakiwa wazazi kuwaandalia maisha yao ya sasa na ya baadaye!hayo mawazo ndiyo yanayopotosha vijana na kuanza kukaa vijiweni kusubiri mirathi.
baadhi ya wazee wetu hawakwenda shule, wengine walijifia mapema sana tukaishia kupambana na maisha na tunamshukuru Mungu tumefanikiwa.
Sio wazee wote wanao uwezo wa kumuachia urithi vijana, musijidanganye fanyeni kazi mupambane.
Elimu sio urithiMimi namaanisha ili watoto wetu wasiishi kwa kutegemea mirathi za wazazi wao, tunatakiwa wazazi kuwaandalia maisha yao ya sasa na ya baadaye!
Mfano kupitia elimu bora itakayowafanya kujitegemea, kuwapa mitaji ya kufungua biashara zao binafsi, kampuni, nk.
Urithi sio ombiUrithi sio lazima iwe mali,
Malezi mema na elimu utakayo wapa wanao ni urithi kamili kabisa kama hukupata mali ya kuweza kuwaachia wanao,
Kuwaza urithi wa wazazi wako ni dalili ya uvivu,kukata tamaa au kutaka vyamteremko.
Kwa mujibu wa nani?Urithi sio ombi
Kwa mujibu wa KlauzKwa mujibu wa nani?
Hizi akili za kijinga ndio zinasababisha baadhi ya jamii hapa Afrika zizidi kubaki kwenye umasikiniwatoto nao watafute maisha yao wasisubiri urithi