Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,051
9,951
ummy.jpg

Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na kinachotekelezwa.

Aidha mradi wa Uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa Bombo-Tanga umefikia 20% wakati imeshapokea fedha 63%. Hapa kuna shida nyingine, hili ni jambo la kuangalia kwa kuwa miradi hii yote inaangalia afya za watu wa maeneo hayo.

Screenshot 2024-05-14 112910.png
 
Back
Top Bottom