Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,756
Mbona huwa unaropoka Tanzania tunatembeza kibakuliDeni lisikutie wasiwasi maana tulikopa sisi na tutalipa sisi, cha msingi ni kuhakikisha tunasimamisha miundo mbinu itakayotuweka kwenye level nyingine.
Tunapaa na kupepea, nyie hata mpewe madeni na fadhila na misaada hamna siku mtakaribia hata nyuma yetu.
Kumbe nyie mnadeni kubwa zaidi yetu