Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,662
Suala la mipango miji kutokuwa na impact Tanzania kwa mtizamo wangu limekaa mno kisiasa kuliko kitaalamu na kiuchumi hivyo hili tuweze kuliondoa hili tatizo ni sharti mpaka wanasiasa waache kuchanganya interest za kisiasa na ustawi wa jamii (Lazima tuache uzalendo wakinafiki natudhamirie kwa dhati kuipangilia miji yetu)labda nilitolee ufafanuzi ifuatavyo:-
Mipango miji ya Tanzania inawasomi wazuri pengine kuliko nchi nyingine ukanda huu na wanataasisi nzuri inayotoa mafunzo stahiki, wanaplan nzuri ambazo utambuliwa mpaka nje ya mipaka ya nchi na mifano ipo kuna nchi zimewahi kujenga miji yao kwa kushawishika na plan zetu.
Mipango hawana shida kwasababu kazi yao nikuonesha kipi kifanyike katika miji au vijiji wapi waweke nn, wapi paendelezwe vipi,wapi paachwe wazi na kipi kifanyike kwenye ardhi na hilo sina shaka nalo wamekuwa wakilitimiza nenda ofisi zote ramani ya miji na mipangilio ipo na maono makubwa wanakuwa nayo ila shida ni pale wanapotaka ku-implement ndipo siasa na serikali vinapojitokeza;
SERIKALI inamkono wake katika hili kwa maana mji unapopangiliwa vizuri barabara zinakuwa nyingi,na huduma zingine za kijamii zitaitajika vivyo hivyo kwa kuwa itakuwa nidhahiri kwa mwanachi kuona huduma fulani kama barabara mbona hatupewi na hili hali kuna uwazi wa barabara ama zahanati n.k
Hivyo mwananchi anajengewa mawazo yakulaumu mazingira yake mfano jirani atakapogoma kupitisha mfumo wa maji au barabara kwenye kiwanja chake kisa ujenzi holela itakuwa ni kisingizio tosha cha serikali kuonesha kuwa alijawezekana kwa kuwa kuna wananchi hawajapisha kwa hiyari yao mradi na fidia nikubwa na pia ujenzi holela ndo chanzo cha wananchi hao kukosa huduma muhimu,
Hivyo hapa serikali utafuta kisingizio cha kukwepa majukumu yake kwa kuepuka mzigo wa gharama za majenzi nakuonekana kuwa awajafanya juhudi za kutosha kuwaletea wananchi wao maendeleo
hivyo badala ya mwananchi kuwa na uhitaji wa barabara 18 katika rows zilizopangiliwa vyema katika mtaa wao uambulia 1 iliyojipenyeza katikati ya makazi duni kama uchochoro na serikali ubaki ikisifiwa jinsi inavyofanya juhudi kubadili hali ya miji yetu.
SIASA inahusikaje kwenye hili? Naamini kila mmoja wetu include walaumiwa yaani mipango miji na watu wa ardhi hawaridhishwi na kinachoonekana kwenye mitaa yetu
hasa machinga kuwa kero kila mahali na hawatakiwi kuguswa, barabara kukwepa nyumba, mabomba kila siku kukatwa na magreda na maji kuishia kuchurizika mitaani,kila sehemu kugeuka dampo, nguzo mpaka barabarani,bar ndani ya makazi n.k
haya yote yanaendekezwa na wanasiasa kwa sababu ya kutaka nguvu ya kisiasa kupitia matatizo ya wananchi hivyo basi kila mmoja wao atajifanya anamtetea mnyonge(mvunja sheria) anayenyanyasika na sheria(zisizo na utu) za mipango miji
huku hofu ya mwanasiasa ikiwa ni nikifanya inavyotakiwa nitawapoteza wapiga kura na kumbuka mwanasiasa ana nguvu katika maamuzi kuliko mtaaluma.
Ubinafsi; ni rahisi mno kusikia kikao cha madiwani kilihisha bila suluhu kutokana na mzozo wa wapi stendi iamishiwe, wapi tuweke makao makuu ya wilaya n.k,Kila mtu upambana kizuri kiende mtaa wake au kibakie palepale hata kama imeonekana kuna ulazima wa kukiondoa.
Mwisho wa siku miji inashindwa kupangiliwa vizuri jinsi ilivyoelekezwa na wataalamu wa mipango kuwa wapi kipi kifanyike na kivipi kwa interest za minority (wanasiasa) ambao wao ufikiria tu wapiga kura wao wataamua nini juu yao na mapato ya eneo lao basi,
Usistaajabu kwa staili hii kukuta miji mingi Tanzania tumekumbatia mfumo wa miji yote lazima ukute kiwanja cha ndege katikati ya mji hata kama akistahili kuendelea kuwa mahali hapo,viwanja vya michezo, round about za ukoka au kakibao, barabara kuu za lanes mbili n.k
Wito wangu kwa serikali ni kuwa tubadilishe mfumo wa fikra zetu za siasa tunazofanya sasa kwa maana zimepitwa na wakati na pia dunia inakwenda mbio mno kiteknolojia na lazima tuendane nayo lasivyo tutaendeleza kale kamsemo kao ka dharau "Afrika izi a daki kontinenti"
Kwa maana ipo siku wanaodanganywa nao wataamka nakutaamaki kwanini ni wao tu ndani ya Afrika au Duniani ndo wanaishi kwenye miji yenye mipangilio duni na miundo mbinu mibovu (uswazi) huku wakiishia kusifia miji ya wenzao au nchi za jirani kwa uzuri wa mwonekano wa makazi na miundombinu yao.
Hivyo wahusika (Serikali na wanasiasa)nina imani atujachelewa mkizingatia ushauri uliotolewa nawachangiaji makini kwenye uzi huu mabadiliko yanawezekana naomba tuwape nguvu na nafasi wataalamu na wenye jukumu hili (mipango)
Tuwajali kwenye bajeti na tuwasupport pasipo kuwaingilia kwenye majukumu yao hili watuondolee aibu hii inayolikabili taifa letu kwa sasa kumbukeni Dodoma nikijisehemu tu katika Tanzania hivyo msijisahau nakuhisi mipango miji inafanya kazi na hivyo mnakata kiu ya watanzania.