Voice Of Zigua Member Apr 22, 2016 37 4 Apr 23, 2016 #1 Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni
Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni
Aurora JF-Expert Member May 25, 2014 7,308 5,270 Apr 23, 2016 #3 Jitambulishe vizuri kwanza ndipo tukukaribishe wewe inatokea pande gani ya kenya?Nakuru,kisumu,Eldoreti au Mombasa?
Jitambulishe vizuri kwanza ndipo tukukaribishe wewe inatokea pande gani ya kenya?Nakuru,kisumu,Eldoreti au Mombasa?
Voice Of Zigua Member Apr 22, 2016 37 4 Apr 23, 2016 Thread starter #4 Mimi natokea Lodwar, Riftvalley
mcubic JF-Expert Member Mar 3, 2011 10,307 6,514 Apr 23, 2016 #5 Karibu sana, ni chama gani cha siasa kinakuvutia nchini Tanzania?
Joweba Senior Member Aug 13, 2015 166 87 Apr 23, 2016 #7 Mkuu karbu sana, jisikie upo geto kwako, ila sasa vp nlkuwa nahtaji demu wa ki-Kenya naweza pata?
T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Apr 24, 2016 #9 Kwani wilaya ya Handeni kuna eneo linaitwa kenya? karibu sana na hakikisha wazigua wote wanajivunia uwepo wako humu jf.
Kwani wilaya ya Handeni kuna eneo linaitwa kenya? karibu sana na hakikisha wazigua wote wanajivunia uwepo wako humu jf.
Nkungulume JF-Expert Member Nov 25, 2015 2,988 1,209 Apr 27, 2016 #11 Voice Of Zigua said: CCM na wewe je? Click to expand... Karibu jinsia yako ni kama unavyoonekana katika picha
Voice Of Zigua said: CCM na wewe je? Click to expand... Karibu jinsia yako ni kama unavyoonekana katika picha
bbc JF-Expert Member Jan 18, 2016 3,836 4,145 May 3, 2016 #12 Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Tafuta pahala uketi.
Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Tafuta pahala uketi.
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,633 2,193 May 7, 2016 #13 Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Karibu JF
Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Karibu JF