dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,381
- 18,023
Habari za humu ndani, mimi ni mgeni hivyo naomba ushirikiano wenu.
Nimekuwa nikifatilia JF kipindi kirefu bila kujiunga, ila leo nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kujiunga ili;
1. Nikosoe pale panapobidi.
2. Nisifie pale panapobidi.
3. Niunge mkono hoja mbalimbali.
4. Kukubaliana kutokukubaliana.
5. Kuheshimu wanachama wote.
Mimi ni mpenzi wa siasa aafi na ni mwanaharakati halisi na pia ni mume wa mke mmoja.
Kwa majina yangu naitwa
Dr Namugari P.M.
Naomba mnipokee.