Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,266
- 86,083
- Thread starter
- #381
Sawa ndoa ni kama nchi lakini bado kuna mambo mengi sana yanayotofautisha taasisi ya familia na taasisi ya urais kuna masuala ambayo unaweza ukafananisha hizi taasisi mbili na ikaonekana ni sawa kabisa, ila kwenye masuala mengine kama hii mada kufananisha urais na familia inakuwa irrelevant kwa mfano rais akiwa dikteta huwa ni kwa maslahi ya wananchi wake na si maslahi yake binafsi, haya unaweza ukaniambia mume anapokuwa dikteta huwa ni kwa maslahi ya nani yani mwanaume anapomtendea mkewe kosa kubwa kisha kutaka mkewe asimuulize wala asikasirike hilo ni kwa maslahi ya naniUongozi unaanzia ngazi ya familia mkuu, yaani familia ni taasisi kama ilivyo nchi. Ndio maana huwezi kuwa raisi kama huna ndoa(ni moja ya sababu). Ukishindwa kuongoza familia unadhani utaiweza jamii?
Hata hivyo, udikteta kwenye ngazi yoyote ya uongozi ni muhimu sana. Hizi demokrasia za kizungu mnazotaka ndio zinatufikisha hapa tulipo.