Mimba imefanya ashindwe kunipa unyumba, nifanyeje?

Kaka hivi kweli ushawahi kwenda naye cliniki?
Dr ushawahi kumlalamikia?
Utakuja kutukanwa na manesi..
 
Wandugu nawasalimu

Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo

Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea

Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
Peleka ujinga huko!
 
Ngoja nikubaliane na wewe kwa sababu sijawahi kuona chochote na siombei itokee. Ila yakinikuta ntafuta kauli. Nifah acha kututisha wanachama
 
Wandugu nawasalimu

Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo

Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea

Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
Hahahahha eti mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine
 
yan mtoa mada unamatatizo ya akili..unaomba kibali chakupiga mzigo nje? hata tukikupa mpaka mistari ya biblia utachepuka tu..kuwa na huruma na mpenzi wako msaidie kipindi hiki kigumu kuwa nae mambo ya ngono weka kushoto fikiri namna ya kulea mtoto acha ufuska..ukienda na huko ukatia mimba utarudi hapa tena kujieleza?...acha hizooooo
 
Kama ameshindwa kukupa unyumba unataka tukufanye nini hapa jukwaani? Pumba kabisa wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom