GEITA FARM
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 336
- 173
Tatizo Watu Wengi Wameng'ang'ania Mjini Utazani Kijijini Ni Kuzimu ... Hiyo Millioni 7 Inatosha Kununua Magunia 150 Ya Mpunga Wakati Wa Msimu Wa Mavuno ... Ukiyahifadhi Baada Ya Miezi Kadhaa Ukija Kuyauza Haitaitwa Tena Millioni 7 Bali Itakuwa Imeongezeka ...VIJIJINI NDO SEHEMU YAKUTOKEA KABISAA UKIWA NA CAPITAL KAMA HIYO