thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,114
- 1,166
Mimi nnaona fanya kaz ya kuuza vinywaji vikal,Beer na Soda kwa Jumla.
Ukipenda njoo nkupe Tips zaid
Tupe tips za vinywaji vya jumla
Mimi nnaona fanya kaz ya kuuza vinywaji vikal,Beer na Soda kwa Jumla.
Ukipenda njoo nkupe Tips zaid
Mkuu T14 Armata unaweza kuta tunabishana na mtu ambaye hata hizo 10mil hana yaan yupo kupiga tu porojo hapa!
Umemaliza kila kitu Chance ndoto uzi ufungweHaitoshi, Bar, haitoshi liquor store, haitoshi vinywaji bei ya jumla, haitoshi. Ongeza pesa au fungua grocery jaza mzigo. Sio bar.
Hivu unaujua utofauti kati ya Bar, pub na grocery??? Na weng wamemshauri labd iwe grocery ya kawaida lakin sio kuleta ushindani kweny bar hyo ni hela ndogo sana itaishia kwenye marekebisho ya office bila kujaza pombe kali.... Hiv unaujua mtaji tu wa vinywaji vikali kwa bar?????Inategemeana na eneo mkuu, 10M nje ya mji ni kubwa na inatosha vizuri kama hatataka mambo mengi kwa wakati mmoja.
Acha kukariri wewe hiyo bar anataka iwe wapi?? Sio unabisha hata biashara yenyewe hujawahi kuifanya.Hivu unaujua utofauti kati ya Bar, pub na grocery??? Na weng wamemshauru labd iwe grocery ya kawaida lakin sio kuleta ushindani kweny bar hyo ni hela ndogo sana itaishia kwenye marekebisho ya office bila kujaza pombe kali.... Hiv unaujua mtaji tu wa vinywaji vikali kwa bar?????
🙄🙄🙄Acha kukariri wewe hiyo bar anataka iwe wapi?? Sio unabisha hata biashara yenyewe hujawahi kuifanya.
Umeambiwa bar zote zina pombe kali brand zote?? Unazozionaga kwenye shelf bar nyingi zile ni show off tu.
Tatizo hum watu wanabisha mambo wasiyoyajua....Duh milion 10 labda grocery ndogo tena kwa kujibana, mkuu unajua bei ya mziki mkubwa?
Mkuu mimi nna Liquor Store nlianza kwa mtaji la 7Million. Kikubwa n Business Location tuHivu unaujua utofauti kati ya Bar, pub na grocery??? Na weng wamemshauri labd iwe grocery ya kawaida lakin sio kuleta ushindani kweny bar hyo ni hela ndogo sana itaishia kwenye marekebisho ya office bila kujaza pombe kali.... Hiv unaujua mtaji tu wa vinywaji vikali kwa bar?????
Wakati unaanza sio lazima uwe na mziki mkubwa sana.Duh milion 10 labda grocery ndogo tena kwa kujibana, mkuu unajua bei ya mziki mkubwa?
Hataki kuelewa mwamba, kibongobongo ujanja mwingiMkuu mimi nna Liquor Store nlianza kwa mtaji la 7Million. Kikubwa n Business Location tu
Chunguza utapata ukweli. Tena nyingine ni chupa tupu.
Kwa bar sikushauri sana labda unge anza na grosary pia location ni muhimu sana …. Kama huna experience ya biashara husika usianze na kikubwa soma mchezo kwanzaMilion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki mkubwa (sijui bei yake) ingependeza kama kuna watu wanafanya biashara waje watoe uzoefu wao.
Kwan tupo wap mkuu.....? Biashara inataka huo huo ujanja janja.Hataki kuelewa mwamba, kibongobongo ujanja mwingi
Acha kuwatisha wanaoanza Biashara hii. Kwa 10Million anaweza kufanya chochote kwenye upande wa Duka la Vinywaji vikal na Bia.Hataki kuelewa mwamba, kibongobongo ujanja mwingi
Nani kawatisha?? Ndo ukweli huoAcha kuwatisha wanaoanza Biashara hii. Kwa 10Million anaweza kufanya chochote kwenye upande wa Duka la Vinywaji vikal na Bia.
Ww umewah kufanya hii Biashara.....?Nani kawatisha?? Ndo ukweli huo
, 😂😂😂😂... Wanaweka chupa ya hennessy tupu au sio alf mteja akiiagiza????Chunguza utapata ukweli. Tena nyingine ni chupa tupu.