Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,354
Kuna mpango UN unaosuasua wa kama itawezekana Dunia nzima waharibu silaha zao za Nyuklia.
Wakati hayo bado hayajatekelezeka kama Taifa wanahaki ya kujilinda dhidi ya yoyote mwenye uwezo wa kumfuta kwenye ramani ya dunia.
Ndio maana anaweka THAAD ulaya mashariki, Anaweka THAAD korea penusula. Na alaska kote hata last week Meli Moja ya RUssia ilisogea hata kabla haijafika ikadhibitiwa vilivyo na kurudishwa ilikotoka.
So kama Marekani ni sawa kuwa na hizo Silaha kwa nini sio Korea Kaskazini?