Mikopo na sera mbovu za ubinafsishaji ndizo zimetufikisha hapa, Mwaka 2000 exchange rate ilikuwa(1 Usd=Tshs 803.3)

Weak currency inazisaidia sana nchi ambazo zina nguvu ya kuzalisha kama China. Kwa nchi zetu maskini inafanya kuimport mahitaji ya kila siju na hata mashine za uzalishaji iwe ghali sana.
 
Sasa miaka yote 24 ya uongozi wa Nyerere, exchange rate ya 1 USD halikuwahi kuzidi TSH 10 kwa dollar Moja.

Na exports zilikuwa za kutosha, viwanda vilizalisha na kufanya exports, na hatukuwa na migodi ya waporaji Dhahabu Toka nje,

Sasa Uchumi Gani unauongelea?
 
Labda watakuja, ngoja nikwaalike FaizaFoxy , Lucas Mwashambwa , chiembe ,Huihui2 , Erythrocyte Pascal Mayalla nk nk, ingawa tutegemee na matusi pia!!
Hujqfanya analysis za kiuchumi kwa kipindi hicho, nini kilitokea, na pia hujafanya comparative analysis kwa nchi nyingine, ili ujue hizo effect zimegusa Tanzania tu.

Uchambuzi wako ni sawa na kupima ukubwa wa mzigo wa pamba kwa kuuangalia kisha uufanamishe na mzigo wa mawe, ukaona iko sawa bilq kuupima uzito katika mzani
 
Mchango wa waporaji Dhahabu zetu na Bandari katika Uchumi wetu ni zipi?

Kwanini Dhahabu itokayo nchini isipite benki kuu Ili kupaisha thamani ya exports zetu na kuirudisha shilingi kuwa na thamani?

Kwanini pamoja na huo uitwao uwekezaji Bado hatupati budget independence? Kwanini mapato ya migodi yasitishe kufadhili budget? Tafsiri hapo, RUSHWA Imetamalaki. Kuna Serikali ndani ya Serikali.

Hivi sasa kupata tu dollar ya kuagiza madawa hospitalini ni mtihani sababu ya kuporomoka shilingi!!
 
Weak currency inazisaidia sana nchi ambazo zina nguvu ya kuzalisha kama China. Kwa nchi zetu maskini inafanya kuimport mahitaji ya kila siju na hata mashine za uzalishaji iwe ghali sana.
Naam,

Ndiyo maana nikasema weak currency si tatizo. Tatizo ni kuwa na weak currency bila ya kuwa na economic strategy ya kufaidika na weak currency.

Mchina kaweza kuwa na economic strategy ya kufaidika na weak currency, kwa sababu yeye anaangalia weak currency inavyochochea exports kutoka China.

Faida ya exports za kutoka China kuwa kubwa imepita hasara za China kuwa na weak currency, wamepiga mahesabu exactly how to benefit from a weak currency, kiasi wana i manipulate currency yao isipande thamani na kuathiri exports.

Sisi tatizo letu hatujaweza kuwa na strategy.

Hatuna strategy ya kuongeza thamani ya shilingi yetu ili imports ziwe rahisi kwetu.

Lakini pia, hatuna strategy ya kufaidika na weak currency kama China, kwa maana ya kuchochea exports, kwa sababu exports zetu si nyingi kiadi cha kufanya weak currency iwe na faida kwetu.

We get the worst of both worlds.

Focusing on the strenght of the currency as an indicator is focusing on the wrong thing.

Kwa sababu watu wanaweza kutumia strong currency kupata uchumi mzuri, na watu wanaweza kutumia weak currency kupata uchumi mzuri.

Kitu muhimu zaidi ya kuangalia una strategy gani? Kuna strategy ya kupata uchumi mzuri kwenye weak currency na pia kwenye strong currency.

Tatizo letu hatuna strategy.
 
Weka analysis ya impact ya dhahabu katika thamani ya fedha, na nini kinachangia fedha ya nchi kuwa na thamani
 
Pendekeza hizo strategy hapa Ili zitumike na Serikali itakayoongoza baada ya CCM kufa .
 
Narudia.

Exchange rate si uchumi.

Unaweza kuwa na uchumi mzuri ukiwa na weak currency. Mchina anapigania currency yake iwe weak.

Unaweza kuwa na uchumi mzuri ukiwa na strong currency.

Tatizo si strength au weakness ya currency. Tatizo ni strategy gani unayo kutumia hiyo strength au weakness ya currency kuwa nanuchumi mzuri?

Ikiwa watu wanaweza kutengeneza uchumi mzuri kwa weak currency, mpaka wakaipigania currency yao isipande thamani, currency kuwa weak si issue, kukosa strategy ya kutumia weak currency kujenga uchumi mzuri ndiyo tatizo.

Sijui kama umeelewa tofauti hapo.

Strenght/ Weakness ya currency si issue.

Issue ni strategy ya kutumia hiyo strength/ weakness ya currency.

Unaweza kuwa na a very strong currency halafu hiyo strong currency ikaharibu uchumi pia.
 
Nani anaamua thamani ya shilingi iwe kiasi fulani dhidi ya fulani?
 
Nani anaamua thamani ya shilingi iwe kiasi fulani dhidi ya fulani?
Kimsingi pesa ni bidhaa kama bidhaa nyingine, thamani yake inapatikana kwa forces za demand and supply.

Hivyo utaona nchi ambayo bidhaa zake zinatafutwa sana, thamani ya pesa yake inapanda. Ndiyo maana Mchina pesa yake inapanda thamani, lakini yeye anataka isipande sana, kwa kutaka kuwa na exports sana.

Pia, Benki Kuu za nchi zinaweza ku manipulate mambo (kama money supply, interest rate) ili ku control inflation na thamani ya pesa.

Lakini kitu kikubwa ni forces za demand and supply.
 
Asante
 
WHAT MAKES A CURRENCY STONG.

A currency's strength is determined by ;

1. Interaction of a variety of local and international factors such as demand and supply in the foreign exchange markets.

2. The interest rates of the central Bank.

3. The inflation and growth in the domestic economy.

4. The country 's balance of trade. Exports must be higher than imports.

Kiranga pesa yetu ilikuwa na thamani kubwa Awamu ya mwalimu Nyerere sababu ya viwanda kuzalisha bidhaa na kuuzwa ndani na nje ya Nchi.


Shida yetu ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA.

Wala RUSHWA wanyongwe!!
 
Unaposema exchange rate sio uchumi una maana gani,exchange rate ina impact kubwa kwenye trade,interest rates,investments performances, na inflation.
Utawezaje kuzungumzia uchumi bila kuyazungumzia hayo maeneo??

China anatumia fixed exchange rate system ku promote export kama ulivyosema,ila Tanzania kwa kiasi kikubwa tunatumia floating exchange rate ambayo inategemea nguvu ya soko-hivyo fedha yetu kuwa weak dhidi ya USD ni kutokana na uchumi mbovu.
 
Ahsante Kwa kuja,

Taifa hili tutaliokoa sisi wenyewe. Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…