Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 8,468
- 14,953
Weak currency inazisaidia sana nchi ambazo zina nguvu ya kuzalisha kama China. Kwa nchi zetu maskini inafanya kuimport mahitaji ya kila siju na hata mashine za uzalishaji iwe ghali sana.Exchange rate si uchumi.
Mchina anapigana juu chini pesa yake isipande thamani. Anaifanya pesa yake iwe weak makusudi, isipande thamani.
Kwa sababu syrategy yake ni kuwa na weak currency ili ku promote exports.
Hata ukiwa na weak currency unaweza kuitumia kujenga uchumi mzuri.
Weak currency si tatizo, tatizo ni weak currency bila strategy.