Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza kusababisha athari kwenye miundombinu na makazi ikiwemo nyumba kuzungukwa na maji, pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.

TMA imewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa dharura zinazoweza kujitokeza.
Na bado watakosa umeme japo watakuwa na mvua kubwa kiasi hiki. Mama anatukosea sana kuteua viongozi incompetent kwenye haya mashirika ya serikali.
 
Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza kusababisha athari kwenye miundombinu na makazi ikiwemo nyumba kuzungukwa na maji, pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.

TMA imewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa dharura zinazoweza kujitokeza.
Tuna imani na changamoto zao za umeme zitaisha kutokana na mvua kubwa watakayopata.
 
Back
Top Bottom