Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,817
Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza kusababisha athari kwenye miundombinu na makazi ikiwemo nyumba kuzungukwa na maji, pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.

TMA imewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa dharura zinazoweza kujitokeza.
 
Mzigo umeanza leo yan umegonga asubuhi namapema thn ukatulia watu waende makazini najioni hii tena imegonga hevy yakuwarudisha watu majumbani
 
Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko...
Uzuri hazinyeshi kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme vinginenyo yangezingirwa na maji.
 
Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza kusababisha athari kwenye miundombinu na makazi ikiwemo nyumba kuzungukwa na maji, pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.

TMA imewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa dharura zinazoweza kujitokeza.
Mvua kubwa maana yake nini? Kipimo cha mvua ni muda inayochukua kunyesha au wingi wa maji yanayotiririka barabarani?
 
Back
Top Bottom