Iringa, Ruvuma na Mbeya mbona bado wanajenga nyumba za tofali za kuchoma katikati ya miji yao na wana hela?
Yani Mbeya town kabisa kuna nyumba za tofali za kuchoma sio za mwaka 2000 wala 2010 zinajengwa hadi kesho
Tangu nijue kuwa GDP ya mkoa sijui Taifa haileti japo chupa ya mirinda ya sh. ⁵⁰⁰ huwa sihangaiki nayo.
Unakuta mtoka mkoa namba 1 kwa GDP anaishi maisha magumu kuliko yule atokaye mkoa wa mwisho kwa GDP.
Pambana na maisha yako na ya familia yako....hulishwi na mkoa
Ndiyo Ukweli WenyewePambana na maisha yako na ya familia yako....hulishwi na mkoa
Hivi kumbe tofali za kuchoma ni umasikini? I see Tanzania imejaa vivutio na wewe ni kimojawapo!Iringa, Ruvuma na Mbeya mbona bado wanajenga nyumba za tofali za kuchoma katikati ya miji yao na wana hela?
Yani Mbeya town kabisa kuna nyumba za tofali za kuchoma sio za mwaka 2000 wala 2010 zinajengwa hadi kesho
Watu wa Ruvuma wana maisha borazaidi ya wale wa Kilimanjaro?Ruvuma.
Tofali za kuchoma ni umasikini?we jamaa boya sanaIringa, Ruvuma na Mbeya mbona bado wanajenga nyumba za tofali za kuchoma katikati ya miji yao na wana hela?
Yani Mbeya town kabisa kuna nyumba za tofali za kuchoma sio za mwaka 2000 wala 2010 zinajengwa hadi kesho
Miko iyo ina matajiri ambao ukigawanya kwa pesa zao na idadi wanabeba wenginTangu nijue kuwa GDP ya mkoa sijui Taifa haileti japo chupa ya mirinda ya sh. ⁵⁰⁰ huwa sihangaiki nayo.
Unakuta mtoka mkoa namba 1 kwa GDP anaishi maisha magumu kuliko yule atokaye mkoa wa mwisho kwa GDP.