greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,109
- 1,894
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
- Upatikanaji wa chakula
- Urahisi wa Usafiri
- Elimu
- Hali ya Hewa
- Huduma za maji
- Mitandao ya simu
- Usalama
- Biashara
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
- Biashara ina points 9
- Mitandao ya simu ina points 9
- Usafiri ina points 9
- Elimu,points 9
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 5
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 4
2. Mwanza
Mkoa Tajiri katika Kanda ya Ziwa
Kwenye
- Biashara ina points 8
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri ina points 8
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 7
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
3. Mbeya
Mkoa ulioendelea zaidi katika Nyanda za juu kusini.
Kwenye...
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 9
- Usafi,points 6
4. Iringa
Moja kati ya mikoa yenye mandhari nzuri hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 8
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi ,points 9
5. Arusha
Mkoa ambao ndiyo kitovu cha utalii hapa nchini,japo hizo sehemu maarufu za utalii zote zipo nje ya mkoa wa Arusha🤔
Kwenye
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 6
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 5
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 6
- Usafi,points 5
Huu ni mkoa wenye Ziwa lenye Samaki wengi Afrika.
Kwenye
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 5
- Elimu,points 7
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 7
- Usafi,points 5
7. Kilimanjaro
Mkoa wenye mlima mrefu Afrika...
Kwenye
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 7
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 7
- Huduma ya maji,points 8
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
8. Njombe
Huu mkoa umezungukwa na safu nyingi ya Milima na ndiyo mkoa Baridi kali hapa nchini.
- Biashara ina points 6
- Mitandao ya simu ina points 5
- Usafiri ina points 4
- Elimu,points 6
- Upatikanaji wa chakula points 9
- Huduma ya maji,points 6
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 9
- Hali ya hewa ,points 8
- Usafi,points 9
9. Dodoma
Makao makuu ya nchi....
Kwenye....
- Biashara ina points 5
- Mitandao ya simu ina points 6
- Usafiri ina points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 6
- Huduma ya maji,points 4
- Usalama,points 6
- Bei ya vyakula ,points 4
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
10. Unguja
Mkoa Tajiri huko Visiwani.
Kwenye....
- Biashara ina points 7
- Mitandao ya simu ina points 8
- Usafiri,points 7
- Elimu,points 8
- Upatikanaji wa chakula points 8
- Huduma ya maji,points 7
- Usalama,points 7
- Bei ya vyakula ,points 6
- Hali ya hewa ,points 4
- Usafi,points 5
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa
- Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.