watu wakiwa wanalia na RB sijui mimi nilimlukaje aise.

maajab ni kiweka 10000/ chali 5000 chali buku chali nimeweka 500 tu kitu kimetiki kimasihara mechi 21.

najua kuna watu watakuja hapa kulalamika mbona ukuweka code hapa ipo hivi kwa siku mtu una beti mikeka zaidi ya 10 uwezi jua utashinda upi.
Screenshot_20231105-044120.jpg
 
Winning probability 0%

Maajabu hutokea kwenye Gambling

Maana ya Hii Bet : Aston Villa Awe Wakwanza Kufunga Goli lakini Matokeo ya Mwisho Nottingham ashinde na zingine zote

So edit unavyo fikiria.View attachment 2804334
Option hizo zako usizidishe timu mbili ona hizi hapa multscore.
 
Attachments

  • Screenshot_20231105-103534_Chrome.jpg
    Screenshot_20231105-103534_Chrome.jpg
    80.5 KB · Views: 4
watu wakiwa wanalia na RB sijui mimi nilimlukaje aise.

maajab ni kiweka 10000/ chali 5000 chali buku chali nimeweka 500 tu kitu kimetiki kimasihara mechi 21.

najua kuna watu watakuja hapa kulalamika mbona ukuweka code hapa ipo hivi kwa siku mtu una beti mikeka zaidi ya 10 uwezi jua utashinda upi.View attachment 2804532
Watu code hamuweki halafu mnataka sifa tujue mmeshinda huu ni utoto aise kwa nini hambadiliki

Haya umeweka won then ili iweje ???
 
watu wakiwa wanalia na RB sijui mimi nilimlukaje aise.

maajab ni kiweka 10000/ chali 5000 chali buku chali nimeweka 500 tu kitu kimetiki kimasihara mechi 21.

najua kuna watu watakuja hapa kulalamika mbona ukuweka code hapa ipo hivi kwa siku mtu una beti mikeka zaidi ya 10 uwezi jua utashinda upi.View attachment 2804532
Ni kweli mkuu, safi sana hela ndogo imeleta kubwa 😁
 
Back
Top Bottom