Miji ya Tanzania iliyo juu zaidi kutoka usawa wa bahari

1. Makete -mita 2300.
2.loliondo - mita 2300.
3.Njombe - mita 1920.
4. Mafinga - mita 1850.
5. Sumbawanga - mita 1800.
6.Mbeya - 1700.
Naomba mnieleze zaidi kuhusiana na mji wa sumbawanga kuanzia jiografia na hali ya hewa
 
Lakini je, mji ulio chini kabisa kutoka Usawa wa Bahari kwa Tanzania ni mji upi?
Nadhan Mtwara,Lindi haiwez kukosekana
 
Mkuu ila mm nadata tu na huto tumatako tunavyonyumbulika kwenye hiyo avatar yako.
 
Huwa wanachukulia kuwa bahari ndiyo eneo la chini kwenye uso wa dunia. Hivyi wanaipa usawa zero. Kwa hiyo milima na miinuko yote hata iwe mbali kiasi gani kutoka baharini. Inapimwa urefu kwenda juu toka usawa wa bahari. Hata mlima kilimanjaro urefu wake umepimwa toka usawa wa bahari.
Ahaaa kumbe, asante mkuu kwa ufafanuzi
 
kadri mwinuko kutoka usawa wa bahari unavoongezeka.joto linapungua..
kadri mwinuko kutoka usawa wa bahari unapopungua..joto linaongezeka.
hayo maeneo yote uloyataja yana baridi...yani joto lipo chini.
na dar mwinuko upo chini ndo mana joto lipo juu
Ndio hata sudan pia kupo chini ndio maana kuna joto.. kuna factors nyingi za kuangalia kijana.. kuwa karibu na bahari hakufanyi sehemu iwe na joto.. umewahi kufika URUSI..?? anyway kikubwa ni njia ya jua.. kwa hapa kwetu TZ joto lipo kwa sababu tuko karibu kabisa na ikweta hivyo jua hupita karibu na utosi wa anga letu.. vivyo hivyo kwa miji kadhaa ya kenya, Uganda, somalia zanzibar, sudani, algeria, india n.k... Hiyo ni just wanasayansi kutaka kueleza mantinki ya kuwa umbali na bahari..
 
Back
Top Bottom