ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni.
Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?