Ndaxy EMI JF-Expert Member Aug 16, 2015 526 319 May 14, 2016 #81 MKWEPA KODI said: Kazi kwa sasa ni kutafuta walioficha sukari na kuigawa bure Click to expand... Ivi jamani sukari inagawiwa wapi nikajipange maana kontena langu la sukari hapa gheto ni kavu
MKWEPA KODI said: Kazi kwa sasa ni kutafuta walioficha sukari na kuigawa bure Click to expand... Ivi jamani sukari inagawiwa wapi nikajipange maana kontena langu la sukari hapa gheto ni kavu
Ndaxy EMI JF-Expert Member Aug 16, 2015 526 319 May 14, 2016 #82 Mwasita Moja said: Jiji la dar lipo chini ya ccm au UKAWA??? Click to expand... Makonda
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,644 11,169 May 14, 2016 #83 Nipeni kura HAPANA KAZI TU.
Sharif JF-Expert Member Mar 13, 2011 2,450 1,777 May 14, 2016 #84 siku hizi wanaoimba hapa kazi tu ni wa kutafuta kwa tochi..