Miezi sita ya awamu ya tano: Sijaelewa maana ya HAPA KAZI TU!

Badala ya kufanya kaz,sekta binafs inapunguza wafanyakaz,hapa kaz tu ni muda wa kutafuta sukar,hapa kax tu bei ya mafuta ya kupikia yamepanda,hapa kaz tu ndo ya Tanzania ya viwanda.inakuja kwa bajet bilion 2,hapa kaz tu,ukiukaj wa sheria za utumishi,yaan awamu hii ndo itakuwa awamu mbovu kuwah kutokea tz
 
Kutumbua majipu kumevunja sheria na kanuni ipi ya utumishi wa umma? Muwe specific.
 
Misemo kama hii mara nyingi huishia kwenye kampeini. Najiuliza hivi kama Lowassa ndo angeshinda angekuwa anafika kwenye mikutano na kusema Lowassa!!! na watu wengejibu MABADILIKO!!!!? Hata Obama alisema YES WE CAN, lakini baada ya kuchaguliwa aliingia ofisini na kuchapa kazi bila kutukumbusha tambo za kampeini.

Kama mtanzania mzalendo najiuliza, hivi HAPA KAZI TU inamaanisha kufanya kazi bila kutumia sheria, kanuni na taratibu? (kutumbua majipu) HAPA KAZI TU, inamaanisha kufanya kufanya kazi bila kulipwa? (naambiwa madiwani hawajalipwa posho nchi nzima kwa miezi miwili). Au HAPA KAZI TU ilimaanisha usiulize OC, ukiuliza bwana mkubwa anakurekodi alafu unatumbuliwa!

Wanaoweza kunifafanulia wanambie HAPA KAZI TU, ina maana gani? Hivi mnakumbuka rais akihutubia bunge alisema HAPA KAZI TU inabadilika na inakuwa SASA KAZU TU. Nini kilishindikana mpaka leo tunaimbiwa HAPA KAZI TU?
Pole Yako tulioelewa tuna kwenda mbele kwa mbele!
 
Sio lazima uelewe kila kitu, kwani ulipokua shule ulikua unaelewa kila somo?

Mbali na kutokuelewa kila kitu pia akili yake ni nzito kuelewa. Hata hivyo sio kila mtu anatakiwa aelewe, wengine ni mizigo na wanatakiwa wapelekwe tu
 
Back
Top Bottom