Microsoft is adding the Linux command line to Windows 10

Stack Overflow Developer Survey 2016 Results

The link takes you straight kwenye comparison ya miaka, and Microsoft is constantly loosing
mkuu tufanye simple math

windows 7 = 22.5%
windows 10= 20.8%
windows 8 = 8.4%
windows xp= 0.4%
windows vista = 0.1%

jumla ya marketshare ya windows ni 52.2% so tunarudi pale pale kama nilivyosema hapo juu zaidi ya 50% ni windows

kumbuka windows 10 ina miezi 8 tu sokoni na mwaka jana kwenye data hata haikuwepo lakini imefanikiwa kuteka asilimia 20 tayari ambazo hazitofautiani sana na za linux na mac. kama os ya miezi 8 inacompete na distro zote za linux pamoja na version zote za osx sidhani kama microsoft ni loser.
 
Hahahaha.. Sijaelewa point yako vizuri.. But when you it comes to Big Data Linux and UNIX like OS zinanafasi kubwa sana
namaanisha unaweza ukadevelop kwa kutumia windows na server ikawa linux mfano mzuri ni microsoft na apple wote wanatumia windows kufanya development na server zao nyengine hurun linux. so linapokuja suala la marketshare ya developer na server ni tofauti
 
mkuu tufanye simple math

windows 7 = 22.5%
windows 10= 20.8%
windows 8 = 8.4%
windows xp= 0.4%
windows vista = 0.1%

jumla ya marketshare ya windows ni 52.2% so tunarudi pale pale kama nilivyosema hapo juu zaidi ya 50% ni windows

kumbuka windows 10 ina miezi 8 tu sokoni na mwaka jana kwenye data hata haikuwepo lakini imefanikiwa kuteka asilimia 20 tayari ambazo hazitofautiani sana na za linux na mac. kama os ya miezi 8 inacompete na distro zote za linux pamoja na version zote za osx sidhani kama microsoft ni loser.

Very stupid of me sikunotice hilo!
 
namaanisha unaweza ukadevelop kwa kutumia windows na server ikawa linux mfano mzuri ni microsoft na apple wote wanatumia windows kufanya development na server zao nyengine hurun linux. so linapokuja suala la marketshare ya developer na server ni tofauti
Linux Na Mac were designed for developers in first place tofauti Na Windows ambaye inatarget ordinary users thus why they need Shell in Windows.
 
ninavyofahamu na data nyingi nilizoziona windows ni monopoly even kwa developers pia. mfano kama hii survey ya stack overflow kwa madeveloper 26086 inaonyesha windows inatumika na zaidi ya asilimia 50 ya madeveloper compare na asilimia 21 ya mac cheki hapa survey yenyewe
Stack Overflow Developer Survey 2015

even osx(mac) zinatengenezwa kwa kutumia windows

Hiyo survey niliishaiona na hata mimi nilishiriki kutoa data.
Ni kweli windows bado wana monopoly kubwa kwenye OS share sehemu nyingi, lakini ikija kwenye deployments za servers Linux na Unix distributions hazina mpinzani, hata kwenye serious industries kama research e.t.c.

Sawa developers wengine wanapenda kutumia "putty" ku-ssh into their servers, hawa wengi wao ni kwa sababu they simply can't afford a mac. Na wengine wana mac lakini pia wanaweka windows pembeni, mambo mengine wanafanya kwenye windows ila when it comes to development wanakimbilia unix au linux.

Na wewe umeconsider just windows vs mac, mimi nilikua naongelea windows vs mac (unix) and linux since zote zinatumia shell ile ile, hizi ukizijumlisha ni almost 49% its obvious windows anapoteza market, zamani windows angeshika 90% na hiyo ni desktop OS wanazotumia developers sio zinazotumika kwenye servers ambapo windows hata hasomeki kabisa kule. Kwa serious developer akishika Macbook yoyote ile hawezi rudi windows yaani its night and day labda kama ni game developer.
 
ninavyofahamu na data nyingi nilizoziona windows ni monopoly even kwa developers pia. mfano kama hii survey ya stack overflow kwa madeveloper 26086 inaonyesha windows inatumika na zaidi ya asilimia 50 ya madeveloper compare na asilimia 21 ya mac cheki hapa survey yenyewe
Stack Overflow Developer Survey 2015

even osx(mac) zinatengenezwa kwa kutumia windows

Fact hapo ni mtu before hajawa developer alikuwa anatumia OS gani, na alikuwa keen vipi na coding,
Watu wengi wenye ndoto zakuwa developers wanatumia windows,- mfano mdogo tu huu
Sasa mtu kama alishazoea windows kuja kuadopt Linux huwa inachukua muda sana, kama ilivyo kwa Devs wengi, ndio maana wengi utaona wana dual boot Os, au kama wengine wanavyofanya kutumia VMware na Windows ikiwa kama ni primary OS,
Reason ni hawajazoea Linux na hii imechangiwa na Linux kuwapa wengi shida kutokana na command zake, wachache utaona wameswitch Ubuntu.
Hapo ni lazima tukubaliane tu, Devs wengi wanatumia OS nyingine tofauti na Linux. Hata tukichukulia tu mfano hapa Tz
 
Ni habari njema kwa developers maana nimekuwa nafanya coding kwa kutumia Linux hasa linapokuja suala la shell scripting
 
Fact hapo ni mtu before hajawa developer alikuwa anatumia OS gani, na alikuwa keen vipi na coding,
Watu wengi wenye ndoto zakuwa developers wanatumia windows,- mfano mdogo tu huu
Sasa mtu kama alishazoea windows kuja kuadopt Linux huwa inachukua muda sana, kama ilivyo kwa Devs wengi, ndio maana wengi utaona wana dual boot Os, au kama wengine wanavyofanya kutumia VMware na Windows ikiwa kama ni primary OS,
Reason ni hawajazoea Linux na hii imechangiwa na Linux kuwapa wengi shida kutokana na command zake, wachache utaona wameswitch Ubuntu.
Hapo ni lazima tukubaliane tu, Devs wengi wanatumia OS nyingine tofauti na Linux. Hata tukichukulia tu mfano hapa Tz
mbona unaongelea minority party ya developer? yaani wale wadogo.

developer wakubwa kama microsoft, apple, king, square enix, blizzard nk unadhani wanajali umezoea kitu gani? os utakayoikuta kazini ndio hio utakayotumia bila kujalisha umezoea os ipi
 
Ni minority part ya developer au ni minority part ya developers ? hapo nakuwa sikuelewi.
 
Back
Top Bottom