Michango ya ujenzi wa nyumba za ibada idhibitiwe!

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,283
10,799
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.

NB: Hawana utambulisho wowote
 
Kama huna si unasema tu,sasa makasiriko ya nini
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.

NB: Hawana utambulisho wowote
 
Na wale wa upande mwingine wanaotufata bar kuomba michango mbona husemi nao.?

We kama hutaki kuchanga Acha tu
 
mimi sina maoni hapa ila wkauu naombeni mukanipigie kura

Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.

NB: Hawana utambulisho wowote
kiongozi we toa tu ayo mengine waachie wenyewe we toa yani toa tu hata wakija tena we toa
 
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.

NB: Hawana utambulisho wowote
kiongozi changia kwani wew unatumia elangapi kwenye matumizi mengine ya kipuuzipuuzi
 
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.

NB: Hawana utambulisho wowote
Dili za watu hizo.. Mjini shule
 
Back
Top Bottom