chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
me naungana na yeye ktk kuomba mungu siku za maisha yake na apate mke bora abarikiwe sana kwakweli.
Mimi nilisikiliza story yake kupitia clouds fm kile kipindi cha njia panda kinachoongozwa na Dr. Isack Maro.Miaka 39 yote alikua gerezani ?? Vipi una stori zake nyingine ,ongezea basi kidogo ,story yake inaelekea ina mambo mengi mazuri ya kujifunza
Nasikia hata Michael Jackson hajuwahi kulala na mwanamkeIsack Newton ( Mwanasayansi maarufu zaid Duniani) hakuwahi kufungwa lakini alifariki akiwa aged akiwa Bikra ya kugusa na kuguswa kutokana na ubize wa ugunduzi mkubwa unaonufaisha Dunia mpaka leo
vip mbona hukutuletea mrejesho wa kaka yako?Welcome to the club,
Hii inawezekana sana na mimi ni shahidi.
Mwandamu anaweza kuwa chochote kile atakacho.
vip mbona hukutuletea mrejesho wa kaka yako?
sasa si ndo maji ukishayavulia lazima uyaoge ? Wewe leta mrejesho tuone ni wangapi wamekamata fursaWatu waliiona ile post yakafikishwa kwa muhusika kama yalivyo,
dunia ndogo hii; kuna wengine kupitia ile post walishajua mimi ni nani na nakaa wapi.
sasa ikabidi niuchune tu
sasa si ndo maji ukishayavulia lazima uyaoge ? Wewe leta mrejesho tuone ni wangapi wamekamata fursa
Duuu, pole bwana ndo maisha, lakini si ushaachaga hiyo maneno?Vyote,
Mimi ni mfano na ni shahidi.
Yeah kumbe ni huyu alokua njia panda ,story yake inasikitisha!Mungu hatamuacha kweli.Huyu jamaa nilisikia story yake Clouds fm akisimulia story ya kesi yake inasikitisha aisee ila hiyo kipululu kilo mia ndio pila sasa
Yeah kumbe ni huyu alokua njia panda ,story yake inasikitisha!Mungu hatamuacha kweli.
"..Ha ha ajizuie asije akabaka akarudi tena Homu(Jela)"duuh huyu akipewa gemu ataua mtu
"..Hata mchoro wa Papuchi haujui"nzuri hiyo....hakika atafanikiwa kama ataanza kwa kutafuta kazi,,..then baada ya hapo atafute woman ili auonje utamu wa vanila
"..Ha ha ha mwambie amtake radhi babu wa watu kaolewa namna gani?"Haha mkuu huko sipo ,wewe ushakaa magereza ?? Kwani ndio utaratibu wao huo ?