We ni sawa na mimi mkuu yan akili yangu haitak kabisa kuamin kuwa osama kauwawa na mmarekan
Kuna mambo mengi ya kutatanisha katika dunia hii na hasa katika miaka ya hivi karibuni. Miongoni mwa hayo ni kupotea kwa ile ndege (MH 370) ya Malaysia na ambayo mpaka leo haijulikani ilipoteaje; Ilitoweka kwenye radar Machi 8, 2014. Kifo cha Osama Bin Laden ni utata, hivi kweli alikufa? Kingine ni ile ndege ya abiria ya KLM iliyotunguliwa huko kwenye anga ya Ukraine July,2014.