Miaka 20 ya Mr Blue kwenye Rap

Nilikutana na byser 2021 november kupitia beefcha wa M.J, nilimuomba beefcha namba ya byser kwa lengo la collabo..nahis ndo msanii anaefanya collabo na madogo kuliko mwngine jamaa ana kazi nyingiiii sana na ma underground studio nying hazijatoka kisa uwekezaji.. tofauti na story za mtaani kwamba anaringa sana na ni ngumu ku meet nae ila pia nahisi jamaa ni moja ya wasanii very accessible...hakunisumbua sana ku meet na tukafanya kazi hiyo 2021, nasikilizaga ile kazi naona bado nilikua amateur walau ningepata colab nae now tungewasha moto wenyewee. Cool guy 1 day we gon link again
Kinachokushinda kutoboa Nini na dar kwenu, kina johmakini , Ay, fA, Afande walitoboa kwa kuja dar kwa tabu kinoma, mi ningekuwa kwetu dar Sasa hivi legendary.
 
Namfahamu Mr. bluu tokea akimbie shule akiwa fom tuu na nakumbuka wimbo wake wa tshirt na Jeans.

Namfahamu Mr. bluu aliyekuwa akilelewa na mama yake ambaye alitangulia mbele za haki more than five passed years.

Namfahamu Mr. bluu aliyefiwa na dada yake au mdogo wake maunda zolo.

Nakumbuka fununu mbaya za maunda na baba yake, though sijui ni za kweli kivipi.

Namfahamu Mr. bluu ambaye baba yake ana umwa sana tokea kifo cha binti yake.

etc
 
Dar sio kwetu me wakuja tu.. okay, kifupi niliacha kufanya zaidi ya miaka 4 kama ulifatilia ishu ya mzee yusuf kuacha mziki na kurudi badae ile ni kama yangu kabisa, plus nilioa nahudumia family now so kujigawa inakua ngumu ila passion bado ipo nikipata mtu serious wa kuendesha social platform zangu naamini ntafika sehemu..sina muda wala ujuzi wa kucheza na hizo youtube na spotify na vingine ila hua na record navopata upenyo ntaku tag usikie kaz zang za karibuni mkuu, big up.
 
Mi nilifanya hiyo Mambo 2006 nilirekodi dar studio kubwa tu produza mkubwa, ndo hiyo sio kwetu, sister wangu alikuwa hapend nikija dar kunisemasema ndo kukata tamaa,, Mara kuolewa basi ndo hivyo Tena, Shem wako hapend hayo Mambo,
 
Nakuelewa aisee watu kibao hawafanyi kile wanachopenda toka moyoni sababu kukatisgwa tamaa na miaka kukimbia! ila ndo hivo ukiwa na uthubutu unafanya tu me hua nafanya kwa siri mana wife hataki kusikia! Kuna siku tutapiga colab ya jf ya kisiri siri ..usiniangushe mkuu 😂
 
Namfahamu Mr. bluu tokea akimbie shule akiwa fom tuu na nakumbuka wimbo wake wa tshirt na Jeans.

Namfahamu Mr. bluu aliyekuwa akilelewa na mama yake ambaye alitangulia mbele za haki more than five passed years.

Namfahamu Mr. bluu aliyefiwa na dada yake au mdogo wake maunda zolo.

Nakumbuka fununu mbaya za maunda na baba yake, though sijui ni za kweli kivipi.

Namfahamu Mr. bluu ambaye baba yake ana umwa sana tokea kifo cha binti yake.

etc
Bibi sio kila uzi unakuhusu, tunajua 'unafahamu' mengi kumhusu ila sio dhambi kusikiliza.
 
Nakuelewa aisee watu kibao hawafanyi kile wanachopenda toka moyoni sababu kukatisgwa tamaa na miaka kukimbia! ila ndo hivo ukiwa na uthubutu unafanya tu me hua nafanya kwa siri mana wife hataki kusikia! Kuna siku tutapiga colab ya jf ya kisiri siri ..usiniangushe mkuu
We endelea kutafuta dhahabu, unachimba hujui jiwe utapata lini?, Mrisho mpoto katoka mtu mzima, RP Bibi cheka, jasiri haachi asili Jombaa.
 
Back
Top Bottom