kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
X plastaz,wamebaki Juniour x plastaz A city naskia wakubwa wengi wao wako mbele huko wanafanya mishe zingine kama watengwa na JCB
Huyo wa marekani ni mdogo wake nelly sio kaka yake...Uyo moses alikuw anampiga mke wake ndo jamaa kwenda kuamua ndo akachomwa visu na kumbuka kipindi icho Niko LA saba nimesoma na mdogo make kijenge anaitwa Steve au jamaa n Msanii kam bro ake na anayo mdogo ake wa kike ni dancer anaitwa Merry mwingine yuko ujeruman anaitwa neem na dda mwingine mkubwa na wanao bro mwingine mkubwa yuko marekani
Hizo ni story za chini. Nilikuwa nazijua ila hawajawahi kuzisema officially. NA kila siku makalla alipokuwa anasimulia alitoa hiyo niliyoisema mimi.Yap ilikuw yan jamaa anahis nely anatoka n mke wke so alivoenda amua jamaa akaona lbd kwel akaamishia hasira kwke
Hakuna dhambi kwa mwenye dhidi mkuu.....hahahaFaza Nelly na crew yake ni miongini mwa wasanii wa mwanzo kabisa kufanya show majuu.
Na hata huko YouTube video zao ni za kwanza kufikia views nyingi sana kwa kipindi hicho.
Apumzike kwa Amani.. Hivi ni nini dhambi!?!?