DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni.

Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua
viwanja hivyo kwa nyakati tofauti tofauti bila kujuana., ni zaii ya 300m tunataka kutapeliwa, maana viwaja maeneo yale bei ipo juu.

Kwa kifupi tulinunua viwanja hivyo katika kampuni nne tofauti zinazomilikiwa na mhindi mmoja anayejulikana kama SYED ABBAS RIZIV jina maarufu anaitwa ABBAS

Majina ya kampuni zake anazozitumia katika utapeli ni
1) Interflow commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImited

Kipindi tunanunua tulifuata taratibu zote za manunuzi, kwa sababu viwanja hivyo vilikuwa na hati, tulienda kufanya search manispaa , na kupita kila sehemu palipohitajika, hadi tukafikia kupata approval ya manispaa katika harakati za kufanya transfer, yani viwanja tumepewa na hati original kabisa na tulizikagua na kuna baadhi walizibeba hadi wizarani zikakaguliwe na zilitambulika ni halali

Katika kipindi cha ununuzi kuna baadhi yetu tulifika katika ofisi za kampuni husika kwa kuelekezwa na madalali, na ili ufike hapo ofisini lazima kuwepo appointment, bila hivyo huingii.

Wakiwa na appointment na wewe, unakuta ofisi kabisa na bango la kampuni, mnazungumza biashara, ila ikifika mahali kwenye malipo, basi mhusika bwana Abbas anasema kampuni tunaifunga kwa hiyo anakupa account nyingine tofauti na ya kampuni ili ufanye malipo, ili kujiweka safe side baadhi yetu walitaka Abbas mmiliki wa kampuni hizo ku-sign, kwamba anaruhusu malipo yafanyike katika accout tofauti za kampuni

Kwa utaratibu huo tumejikuta wengi tukinunua na wengine kununua kupitia kwa mwakilishi wake anayefahamika kama Juma Nkumbi

Mgogoro unaanza baada ya huyo Abbas kukamilisha mauzo ya viwanja vyote. Jamaa anaruka futi 100 kwamba hajauza kiwanja chochote ili hali, kwenye mauziano baadhi alikuwepo mwenyewe na mauziano mengie alikuwa akisimamia muwakilishi wake

Jamaa ili kutuvuruga akaenda kuwekea caveat viwanja vyote, akizuia transfer zote na hapo akafungua kesi kimya kimya bila kutujulisha ili asikilizwe upande mmoja.

Kipindi anaweka mazuio kila mhanga alikuwa anahangaika kivyake ndipo tukaanza kujuana ni kundi kubwa la watu analichezea mchezo na ndipo tukagundua kwamba kuna kesi zishafunguliwa ya kila mmoja

Baada ya kukuta tumefunguliwa kesi kila mmoja wetu hapo ndipo tuka-organize iwe kesi moja, na jamaa alipoona kesi inamshinda, akaanza visa vya kuchelewesha kesi kuanza kusikilizwa, kila siku anakuja na jipya maji yalipo fika shingoni, kesi yenyewe akaifuta kabisa ila caveat/zuio la kuendelea na transfer hakulitoa.

Kutokana na kuifuta kesi hiyo, ikabidi sasa tumshitaki yeye, why anaweka mazuio ili hali na kesi kashafuta. Baada yakuona tumemfungulia kesi amekuja na sababu tele mahakamani akizuia kesi tuliyomfungulia isisikilzwe, yani anavuta vuta muda, na haoneshi nia ya kumaliza kesi na sisi tum- stack zaidi ya mwaka na miezi kadhaa

Visa nje ya mahakama, anaweka walinzi wengi kwenye maeneo yetu, na hata walioanza ujenzi materials zimeanza kuoza, ni hasara kubwa. Anatusumbua na kututesa watu wengi bila mashiko.

Tumeandika barua nyingi kwa vyombo husika wachunguze hizi kampuni zake maaana zimekaa kimichongo, hazilipi kodi, yani kampuni zote zinatumia ofsi moja, na bango la ofisi linabadilika kulingana na mteja wa siku hiyo, na ofsi inafunguliwa kwa appointment maalum

...............
Katika kufuatilia tumegundua jamaa ana kesi nyingi zinazofanana na hizo, na pia ameshatangaza hati zake zimepotea katika magazeti ya serikali, ili hali sio kweli hati tunazo sisi
.....
Ombi langu pamoja na wenzangu , tuanomba jambo hili mliangazie ikiwemo wawakilishi wa vyombo husika vya ardhi, takukuru, TRA na hususani mheshimiwa waziri ambae tumeshafanya jitihada za kumtafuta bila mafanikio , ili aliangazie suala hili kwani sio suala la mtu mmoja, linagusa zaidi ya watu kumi , hivyo kuwa kero kubwa kwa sisi kama wananchi

makampuni haya manne yachunguzwe vizuri , inaonekana yameanzishwa kutapeli na kusumbua wananchi

Majina ya kampuni ni
1) Interflow Commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImited

Mtu huyu anaetusumbua ni mhindi anaejulikana kwa jina la ABBAS na hata mawasiliano yake ni 0778 999 999 na msaidizi wake ni 0754 022 897

Hawa watu hawana nia njema na sisi wanatupiga chenga kila siku jambo lisiishe, na wengi hatujui hatima yetu maana viwanja tumenunua ili kujistiri na familia zetu , ila mwaka sasa umeisha jamaa wanatukimbia kimbia mahamani
.....
Natanguliza shukrani, naomba wahusika walifuatilie hili maana ishakua kero ya wananchi

Natanguliza shukrani, Asanteni sana, naombeni ushirikiano wenu
Huyo muueni , full stop
 
hizi kampuni,zinahitaji kuchunguzwa na Tra na ikibidi abanwe kulipa kodi, sidhani kama zishawahi peleka hesabu Tra. Mwenye idea jinsi ya kuziminya atupe maoni yake

) Interflow commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImite
 
Ifike mahali mashtaka yakiletwa hapa jamii forum tupate na upande wa pili wa mtuhumiwa.Alafu tuwachie wenye mamlaka wafanye maamuzi.
 
wahindi ni janga
 
Kaka inasikitisha na inatia hasira sana, watanzania wengi wanadhulumiwa aridhi na hao wadhulumati wanashirikiana na watumishi wa serikali waliopewa dhamani kwenye kada husika... hata ukisema upambane nao kama haulingani nao kiuchumi unakuwa unafanya kazi bure, sana sana utaichelewesha tu hiyo dhuluma, mimi mwenyewe mzee wangu ni muhanga... kuna eneo letu tumeanza kufuatilia hati tangu 2017, tumepigwa dana dana weeee, imefika 2021 mara tukashangaa anapewa mtu mwingine kabisa akaanza na ujenzi ndani ya wiki hiyo hiyo tangu akabidhiwe... tukakomaa mpaka kwa mkuu wa mkoa akatoa stop order, mpaka hivi sasa ninavyoandika lile eneo bado liko vile vile na muafaka bado haujapatikana mpaka mzee wangu anaelekea kukata tamaa... japo wanae tunamtia moyo na kumsaidia kadri tuwezavyo.

Kaka kuna unyanyasaji mkubwa sana unaofanyika kwenye aridhi nchi hii.. acha tu
Dhuluma ni kitu kibaya sana,na ni machukizo kwa Mungu,lakini ndiyo kwanza watu eti hawaogopi kabisa kufanya Dhuluma, sijui ni laana au ni tamaa zao tu!!
 
waziri atusaidie kwakweli, maana uyo mhindi hataki hata kukutana na sisi, anatumia mawakili wenye njaa na kuwapa maagizo tu yeye hatokei
Na hawa wahindi nani amewapa haki ya kumiliki viwanja huku kwetu?
 
Waziri Jerry Slaa inabidi awaweke ndani watumishi wa ardhi wanaoshikilia mafaili ya kesi hizi.
Ifike hatua tukubali chanzo cha tatizo watumishi wasiokuwa waaminifu.
 
Back
Top Bottom