Mhhh! Utofauti kati ya kutabasamu na kukenyua

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,326
2,452
Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua.
Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.

1000135745.jpg
 

Attachments

  • 1000135742.jpg
    1000135742.jpg
    221.9 KB · Views: 3
kukenua ni kitendo cha kufungua mdomo ukiwa na uso wa furaha, alafu kutabasamu ni kukunja uso bila kufungua mdomo
 
Kutabasamu ni kucheka bila kutoa sauti. Kukenua ni kulazimisha tabasamu
Kutabasamu ni kuonyesha sura nzuri ya furaha bila kufungua mdomo.

Kukenyua ni kuonyesha sura nzuri ya furaha huku umeachilia meno yote adi magego yaonekane bila kutia sauti.


Vyote hivyo vyaweza kufanyika kinafki kabisa (kwa kulazimisha) au kiukweli kabisa (bila kulazimisha).
 
Back
Top Bottom