Mhhh! Utofauti kati ya kutabasamu na kukenyua

kukenua ni kitendo cha kufungua mdomo ukiwa na uso wa furaha, alafu kutabasamu ni kukunja uso bila kufungua mdomo
 
Kutabasamu ni kucheka bila kutoa sauti. Kukenua ni kulazimisha tabasamu
Kutabasamu ni kuonyesha sura nzuri ya furaha bila kufungua mdomo.

Kukenyua ni kuonyesha sura nzuri ya furaha huku umeachilia meno yote adi magego yaonekane bila kutia sauti.


Vyote hivyo vyaweza kufanyika kinafki kabisa (kwa kulazimisha) au kiukweli kabisa (bila kulazimisha).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…