Metsada
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,456
- 866
Unaposema Hakua na chochote cha muhimu alichokua anafanya, je wewe unaijua ratiba ya shughuli za Rais Ikulu???? Hivi Kama Mtu Huna Cha Kuandika Ni Kwanini Usikae Kimya tu Kuliko Kujitaftia Matatizo. Umchukie au Umpende, JPM ndio Rais wa Tz. Subiri hadi 2025