Mhe.Freeman Mbowe akiongoza kikao cha Baraza la Uongozi la Kanda ya Ziwa Victoria kilichofanyika Leo tarehe 20.10.2018 Jijini Mwanza

Maskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
Anatumwa Dangote,na Trump,sembuse Sumaye,alikuwa kiongozi wa umma,hamna cha upekee hapo
 
Maskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
Mbona mzee warioba mlimpiga makofi hamkujua wadhifa aliowahi kushika? Msiwe mnasahau
 
Maskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
Mbona Mzee Warioba mlimpiga Makofi kwani hakuwahi kuwa kiongozi mkubwa?
 
Ni jambo zuri, binafsi nawatakia kikao chema chenye kupanga mikakati mizuri ya kuilimalisha chama
 
Maskini Sumaye katika meza yeye ndie kiongozi aliyewahi kushika nyadhifa kubwa hapa Tanzania lakini leo hii anatumwa na akina mnyika na mdee
Nadhani hana hulka ya kutaka kutukuzwa au kuwa na ufahari kama wewe!

Yeye anatambua kila mtu ni sawa na vyeo ni dhamana. Akitoka yeye anakuja mwingine na maisha yanaenda!

Tofauti na wewe ambaye unaamini kuwa ukishakuwa kiongozi ww ni malaika milele na hupaswi kuishi maisha yako ya kawaida kama wewe!

Hili ni tatizo lako na si la Sumaye. Pambana na hali yako!
 
Yaani ningekuwa Mimi ningenyuti tu nakaa na wajukuu, hii ni Sawa na samatta aje kustaafu mpira halafu asajiriwe ndanda fc
Mbona hushangai Ronadinho leo anacheza soka la ndani India?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom