Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,962
Huyo ni mhalili mkuu. Wote tumemsikia SigallaNdio nilimaanisha mharili kundule kivipi mharili ni mshika tasbihi sio mhariri kama MCL wa MAFURUKU
Huyo ni mhalili mkuu. Wote tumemsikia SigallaNdio nilimaanisha mharili kundule kivipi mharili ni mshika tasbihi sio mhariri kama MCL wa MAFURUKU
Ungeonyesha kwanza umakini wako katika hoja uliyoleta, umeonyesha udhaifu mkubwa! Uliyoyafanya hayana tofauti na alichofanya mhariri, tena kwa hiyo habari ni neno moja tu ndilo lililoonekana kukosewa! Wewe umekosea mara tatu, ungekuwa wewe ndiye mhariri sijui ingekuaje...Mkuu Hoja ni MAFURUKU usihamishe hoja
Muhimu kuomba msamaha tu kwa wasomaji
Kwa hiyo hujaona kosa..?Kuna kosa gani hapo mkuu?
Atuambie nayeye ametumia kamusi gani hapo.Nyani haoni kundule
Kwa hiyo hujaona kosa..?
Angalia kwenye mzunguko wa rangi nyekundu!
Kumbuka Mimi si mpinzani wa kibiashara wa MCL ila ni mdau wa MCL nanua mwananchi kila asubuhi hivyo utimilifu wa habari ninazolipia 1000 ndio tija kwanguUngeonyesha kwanza umakini wako katika hoja uliyoleta, umeonyesha udhaifu mkubwa! Uliyoyafanya hayana tofauti na alichofanya mhariri, tena kwa hiyo habari ni neno moja tu ndilo lililoonekana kukosewa! Wewe umekosea mara tatu, ungekuwa wewe ndiye mhariri sijui ingekuaje...
Kila mtu ana madhaifu yake katika kazi, ila usikosoe sana udhaifu wa mwenzako angali wakati unakosoa unaonyesha madhaifu makubwa zaidi!
Hariri bandiko lako...
MCL kuweni makini na biashara zenu siamini katika kampuni kubwa kama mwananchi communication limited
Kufanya kosa kama hili katika nchi yenye watu ambao ni makini kuleta sokoni habari iliyokosewa na kisha msiwaombe Wateja wenu msamaha hili ni "MAFURUKU"
Nimelitafuta katika kamusi zetu hakika nimelikosa sijui mharili ulitumia Kamusi ipi yenye Neno hili uliloamua kulitumia katika chapisho lako la tarehe 28/05/2017
Naamini kwa mharili makini hawezi kuidhinisha chapisho hilo liingie sokoni huo ni uzembe na kutokujari Kazi yenu...
Hahha atatuuzia chai tuAtuambie nayeye ametumia kamusi gani hapo.
Na wewe mkuu mbona umekosea? Maneno "kutokujari na mharili "yako kwenye kamusi gani?
MCL kuweni makini na biashara zenu siamini katika kampuni kubwa kama mwananchi communication limited
Kufanya kosa kama hili katika nchi yenye watu ambao ni makini kuleta sokoni habari iliyokosewa na kisha msiwaombe Wateja wenu msamaha hili ni "MAFURUKU"
Nimelitafuta katika kamusi zetu hakika nimelikosa sijui mharili ulitumia Kamusi ipi yenye Neno hili uliloamua kulitumia katika chapisho lako la tarehe 28/05/2017
Naamini kwa mharili makini hawezi kuidhinisha chapisho hilo liingie sokoni huo ni uzembe na kutokujari Kazi yenu...
"Kupiga kelele" ni haki ya msomaji, lakini haina uzito kiasi cha gazeti kuomba radhi kwa kosa hilo. Hilo neno "mafuruku" lililotokeza katika headline linasomeka vizuri tu katika "para" ya kwanza. Na ukweli msomaji ambaye atalikuza mno kosa hilo yeye mwenyewe atakuwa na tatizo mahali fulani! Hata kamusi unazozijengea hoja hapa zipo zenye typing errors pia mkuu!Hahahaaaa! Hapo mhariri ni mjapan si mchina.
Kuyasamehe haya makosa kwa kusema eti hata magazeti makubwa kama Washington Post yana makosa yanayoeleweka ni kuhalalisha uzembe wa wahariri. Sisi wasomaji ni lazima tuwapigie kelele wawe macho kwenye kazi zao. Hebu fikiria taabu atakayopata mgeni mwanafunzi wa lugha ya kiswahili anapanua ufahamu wa lugha ya kiswahili kwa kusoma magazeti atakapokutana na neno "mafuruku".Hatoliona kwenye kamusi wala wapi.....wala wapi!
Mharili ndio nini?