Mh! Ukiyastaajabu ya Mussa utayaona.....

Waliposema wapinzani tunaibiwa ccm akiwemo yeye walisema wapinzani ni wazushi. Leo ukweli wake kautoa wapi? Aibu.
 
Mkuu huyu bila shaka ni mungu wa Wakolomije na si huyu tunayemuabudu wengine.

Teh teh teh huyu Sizonje sijui kamkosea nn Mungu maana malipo ya maneno yake ni dhahiri
 
Nilisubiri sana post yako baada ya kutoka kwa report ya uchunguzi wa mchanga. Hatimaye umeileta post yako. Sikutegemea uje kwa staili hii. Nilitegemea uje na hoja nzito za kukosoa tume na hoja nzito za kumkosoa rais kama ufanyavyo siku zote. Leo umenishangaza, sija elewa nini kimetokea kwenye kambi yenu!!!
Nilisubiri
Namimi pia....
Wakaamua kuleta hii kumbukumbu...
Waathirika wa kilichotokea
Mbowe mwenyewe alisema hawachukui Makapi....
 
Mie ni reflection ya Watanzania tukiochoshwa na wahuni, mafisadi, wezi, majangili na wapokea rushwa wa MACCM na wewe ni reflection ya buku 7 wachumia tumbo wanaowatetea hawa wahuni kwa nguvu zote ili waweze kupata mkate wao wa kila siku ili muende choo.

Wee jamaa ni relflection nzuri sana ya bavicha!
 
Na maj'uha kama kawaida yao yanapiga makofi na vigelegele wakisindikizwa na nderemo!!
 
Watu wenye Busara walishaona tatizo la MUHONGO tokea awali.

Magufuli hakujaliwa upeo huo, Ndio maana aliposhauriwa kuwa Prof.Muhongo hafai akajibu kwa kejeli kuwa VIZURI HAVIPENDWI!

Leo amekula matapishi yake.
 
nyingine hiyo
 

Attachments

  • Paul+Makonda+%28UVCCM%29+on+Lowassa.mp4
    7 MB · Views: 10
Back
Top Bottom