Safi sana. Huo ndiyo uongozi.Waziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye, amewatembelea wahanga wa mvua ya mawe na upepo iliyonyesha usiku wa kuamkia jana katika maeneo tofauti ya mji wa Shinyanga ambapo ametoa msaada wa mifuko 100 ya saruji.
Chanzo : ITV
Serikali imetoa mingapi?Yani mifuko mia tu?
Katoe wewe mabati!Jaman sumayi hata aibu huna mbona mifuko midogo sana hiyo hujatoa hata mabati
Jaman sumayi hata aibu huna mbona mifuko midogo sana hiyo hujatoa hata mabati
daaaah Ila watanzania mmenishinda, eti mpiga kengeleWakati mpiga kengele wa chato anasambaza matusi, kejeli, na visasi sisi upinzani tunafariji na kulia na wanyonge waliopiga kura yao kwa mtu asiye sahihi kwako.
daaaah Ila watanzania mmenishinda, eti mpiga kengeleWakati mpiga kengele wa chato anasambaza matusi, kejeli, na visasi sisi upinzani tunafariji na kulia na wanyonge waliopiga kura yao kwa mtu asiye sahihi kwako.
Kwani yule mwizi wa rambirambi za Kagera ametoa hata Pole kwa wahanga wa Shinyanga?Jaman sumayi hata aibu huna mbona mifuko midogo sana hiyo hujatoa hata mabati
Anawarudishia watu hela zao sio mbayaWaziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye, amewatembelea wahanga wa mvua ya mawe na upepo iliyonyesha usiku wa kuamkia jana katika maeneo tofauti ya mji wa Shinyanga ambapo ametoa msaada wa mifuko 100 ya saruji.
Chanzo : ITV
Hebu kimbiza pale shinyanga hata msumari mmoja tu watakushukuru sanaYani mifuko mia tu?
Kutoa ni moyo siyo utajiri!Safi sana walioshiba wakiwakumbuka wenye njaa
wewe umetoa Gapi?Yani mifuko mia tu?