Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,744
DuuuhHebu tupia picha yake hapa, mbowe hajafanya yake kweli?!
DuuuhHebu tupia picha yake hapa, mbowe hajafanya yake kweli?!
Mafanikio gani?
Kama unampenda ni wewe kama wewe;
Mwanamama kwako wewe dogo, sisi wazee wenzake kweti ni mwanadada tu.Hongera kwake, ila sio mwanadada huyu ni mwanamama.
Hebron Mwakagenda ni mume wake.
......
Anastahili!!
Taasisi ya Alhuda International, ya Dubai, UAE, imemtunuku Mhe. Sophia Hebron (Mb) (Mbunge wa viti maalumu, Chadema) tuzo ya mwanamke bora aliyechochea mafanikio kwa jamii ya wanawake.!
Wamesahau nini !!?? Huyu anaendesha gari mwenyewe anakata mitaa na magest bila ulinzi Wa mwanaume au hii tuzo ni level ya shirika hilo tuu !!?? Maana ni ajabu nchi inayo nyima fursa wanawake wake .lakini inatoa tuzo kwa wanawake Wa nchi ingine .ambao mafanikio yao yametokana na kuvunja sheria ambazo wanawake Wa nchi inayo toa tuzo wamekuwa watiifu bila kuzivunja ,nini maana yake !!!???Taasisi ya Alhad International ya Dubai UAE imemtunuku mwanadada Sophia Mwakagenda tunzo ya mwanamke bora aliyechochea mafanikio ya wanawake Tanzania
Sophia Mwakagenda ni Mbunge viti maalumu Chadema. Chadema ina hazina ya kinamama
Kwa niaba ya wanaJF wote na wapenda maendeleo ninakupa hongera sana
Kwa kipi alichofanya.Si mtuambie jamani.Mwenye kujua alichokifanya hadi kutambuliwa na hiyo banki ya kiislamu ni kipi?Anastahili!!
Watu wanatangaza biashara nyinyi mnachekelea kama mazuzu fulani..angekuwa mwanamke mwenye kuchochea maendeleo angechochea mjenge ofisi zenu makao makuu kule namanyere nkasi..kwa watani zangu wananiliuLumumba hutawaona hapa
Hongera mpiganaji sophia