Mh. Rais mfikirie Antony Diallo kwenye Baraza lako la Mawaziri

Nimapendekezo yangu kwa Bwana Mkubwa, Amfikirie Huyu Ndugu Diallo kwenye Baraza lake la Mawaziri ili Awezekutoa Mchango wake kwa Taifa hili.

Wote mliopata fursa ya kumtazama ndugu huyu leo kwenye kipindi cha tuongee Asubui Show. Kinachorushwa na Kituo cha Startv.

Kilichokuwa na mada inayohusu kuanguka kwa thamani ya zao la Pamba.

Mimi kwakweli nimemkubali sana misimamo yake na uwezo wake wa kujenga hoja pamoja na mawazo aliyotoa.

Hivyo basi ni vyema ikimpendeza Ndugu Rais Kumchukua Mtu Huyu ili Atoe Mchango wake kwa Taifa.
Awamu hii mawaziri ni wenye PhD, Maprofesa, n.k., huyo bwana ana CV yenye kueleweka au unamshabikia tu ?!
 
Nafasi zimetosha za viti maalumu! Ila na mkulu kazimaliza mapema sana hizi special seats!!!
 
Akalime ajira zimetosha....kama baba mkweo mwambie akaombe kaz mashambani kwenye mazao ya pamba au anzishe shamba ake ajiajiri
 
Nimapendekezo yangu kwa Bwana Mkubwa, Amfikirie Huyu Ndugu Diallo kwenye Baraza lake la Mawaziri ili Awezekutoa Mchango wake kwa Taifa hili.

Wote mliopata fursa ya kumtazama ndugu huyu leo kwenye kipindi cha tuongee Asubui Show. Kinachorushwa na Kituo cha Startv.

Kilichokuwa na mada inayohusu kuanguka kwa thamani ya zao la Pamba.

Mimi kwakweli nimemkubali sana misimamo yake na uwezo wake wa kujenga hoja pamoja na mawazo aliyotoa.

Hivyo basi ni vyema ikimpendeza Ndugu Rais Kumchukua Mtu Huyu ili Atoe Mchango wake kwa Taifa.
Nimemsikiliza mm kimsingi kwa kasi ya magufuli ni mtupu kabisa maana kuna uchambuzi wa kiuchumi kayatolea maelezo pumba sana; moja wapo ni mahusiano ya total productivity ya public sekta haiwezi kuwa efficiecy kulinganisha na private total productivity akatole mfano wa nguvu kazi, mali ghafi, kuwa ndo ilikuwa chanzo cha kuua viwanda.Nimepta shaka na elimu yake kitaaluma kuwa na Phd kwa uchambuzi dhaifu namna hiyo.
Tujikumbushe kidogo kitaaluma ya uchumi na menimenjiment ya kisanyansi, je viwanda vyetu aiku za nyuma nisababu pekee nso iliyoua viwanda?je, taaluma na watendaji wabovu haikuwa sababu?je chama kushika hatamu, hakukokupelekea kuweka viongozi kisiasa na kiccm na kusahau utalamu na kujenha tija , huku wakihatibu wanfunikwa na pazia la vikao vya ccm?je mitaji pesa ilikuwa toshelezi?tekinolojia ta mashine na mitambo ilikuwa sahihi, uwekezaji kwenye viwanda hivyo ulikuwa sahihi?masoko na ukuzaji masokohaukuingiliwa kisiasa za kiccm?, je bodi zilizokuwa zinasimamia zilikuwa zinafanya kazi yake ipasavyo?
Nikaendelea kumshangaa zaidi aliposema hana watendaji, hapa ndo nikaona huyu si dakitari kitaaluma labda naye ni kama maji marefu, je kwa mika 55 tangu tupate uhuru nchi hi haina wasomi?na je taasisi ya ikulu na vyombo vyake na rasilimali zilizopo haiwezi kupata watendaji kujenga sekta ya viwanda.
Anayetetea kuwa ana sifa na kuwa na fulsa kwenye serikali jpm , una masilahi binafisi hafai dialo ndo maana alishindwa na wenje pale ilemela
 
Ni kweli Mkapa na Kikwete waliibua Mawaziri Majembe sana.

Tatizo lilikua huko kwenye halmashauri na watendaji wengine huko wizarani walikosa uzalendo.
Mfano wa Mawaziri majembe walioibuliwa Kipindi cha Mkapa ni pamoja na,
JPM .
Lowassa.
Kikwete.
Dialo.
Masilingi.
Mwandosya.
Husein Mwinyi.
Na wengine wengi. Aliwaita askari wa Miavuli.

Awamu ya Kikwete pia aliibua mawaziri na watendaji wengine mahiri ,mfano :

Mwigulu Nchemba.
Angela Kairuki.
Benard Membe.
Harison Mwakyembe.
Paul Makonda.
Anne Kilango.
Ummy Mwalimu.
Hendry Mwanry.
Prof. Makame
Mbarawa.

Lukuvi.
Na wengine wengi.

Kwa hiyo kama awamu ya Tano haina sehemu ya kupata majembe ni bora ikayatumia hayo majembe ya zamani chini ya usimamizi imara wa JPM.

Majembe ya zamani pia yanawezekana kutumiwa kwa ushauri hasa kwenye masuala ya uchumi.
Kwa hawa waliopo wamepwaya sana kwenye sekta ya kukuza uchumi. Wamekua wanasiasa sana.
nakubaliana na wewe mia kwa mia Mkuu. Mnyonge mnyongeni Haki yake Mpeni.

Mzee Mkapa Alipika Viongozi wazuri sana na walifanya kazi nzuri sana Mwenye macho Ahambiwi tazama.

Uzoefu ni Hazina nzuri, na Ukubwa dawa. Hivyo Mh Magufuli Angemulika na Viongozi wengine waliofanya Vizuri siku za Nyuma walasaidie Taifa hili.
 
Nimesikia Diallo anasema serikali ya magufuli nzuri..lakini hana mawaziiri ....ina maana kuwa "yeye hayumo" akiwamo serikali itakuwa na mawaziri...naoana watu wanavizia kurudi ..lakiini inabidi kwanza ampe ubunge ....
lakini katika uhalisia Diallo is one of those who fought hard ....magufuli anise
 
Nimapendekezo yangu kwa Bwana Mkubwa, Amfikirie Huyu Ndugu Diallo kwenye Baraza lake la Mawaziri ili Awezekutoa Mchango wake kwa Taifa hili.

Wote mliopata fursa ya kumtazama ndugu huyu leo kwenye kipindi cha tuongee Asubui Show. Kinachorushwa na Kituo cha Startv.

Kilichokuwa na mada inayohusu kuanguka kwa thamani ya zao la Pamba.

Mimi kwakweli nimemkubali sana misimamo yake na uwezo wake wa kujenga hoja pamoja na mawazo aliyotoa.

Hivyo basi ni vyema ikimpendeza Ndugu Rais Kumchukua Mtu Huyu ili Atoe Mchango wake kwa Taifa.
Anaweza kutoa mchango wake akiwa nje tuu, serikali ni sikivu sana ikiona maoni yake ni ya kujenga itafuata, kama ni pumba itayaacha, yy abaki huko huko tuu, tutamsikia
 
Nimapendekezo yangu kwa Bwana Mkubwa, Amfikirie Huyu Ndugu Diallo kwenye Baraza lake la Mawaziri ili Awezekutoa Mchango wake kwa Taifa hili.

Wote mliopata fursa ya kumtazama ndugu huyu leo kwenye kipindi cha tuongee Asubui Show. Kinachorushwa na Kituo cha Startv.

Kilichokuwa na mada inayohusu kuanguka kwa thamani ya zao la Pamba.

Mimi kwakweli nimemkubali sana misimamo yake na uwezo wake wa kujenga hoja pamoja na mawazo aliyotoa.

Hivyo basi ni vyema ikimpendeza Ndugu Rais Kumchukua Mtu Huyu ili Atoe Mchango wake kwa Taifa.
Huyu hakuna kitu , ni MTU wa ovyo sana
Utawala wake alikuwa kama Mungu MTU

Wananchi wa igombe 2010 , walimuuliza kuhusu umeme aliowahidi akawajibu kuwa Sijaona nyumba ya kuwekea umeme huku

Pia ,maendeleo akadai mnataka maendeleo gani au hadi nilale na wake zenu

Huyu hafai kabisa
 
Hivi tuna nini jamani,hatupendi wasomi,hatutaki matajiri,hatupendi viongozi wetu,hatupendi dada zetu, hivi tunamatatizo gani au tumelaaniwa?
 
Anaweza kuendelea kutoa michango yake kama raia mwema tu wa nchi, si lazima awe waziri
Hiyo michango atatolea jukwaa gani? Angekuwa mbunge,akatolea michango yake huko,ingekuwa vyema.
 
Mwachie Rais afanye kazi yake,he knows what he is doing.Hata hivyo binafsi simuoni huyu bwana kama yuko competent. Au kakutuma umuombee ajira?

Back
Top Bottom